Kafulila, Hamad Rashid..dhambi ya uasi bungeni inawatesa.!

Kafulila, Hamad Rashid..dhambi ya uasi bungeni inawatesa.!

nrongalema

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
48
Reaction score
5
...kama mtakumbuka hawa wabunge ndio walikuwa vinara wa uasi dhidi ya cdm kuhusu kambi rasmi bungeni..! Sasa wanakula walichovuna..! Ninamuonea huruma sana kafulila(kijana)..ndani ya miaka 2 umeshahama vyama vitatu(3)...kaka kafulila tuliaaaaaaaaa...kuwa kama mentor wako zitto.!
 
Back
Top Bottom