Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,476
- 25,489
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendaloWewe Jamaa Kuna Sehemu Umeme Mdogo Ama Fuse Hazipokei Vizuri
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendaloWewe Jamaa Kuna Sehemu Umeme Mdogo Ama Fuse Hazipokei Vizuri
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣😂😂😂😁😄😄😁Huyo ngedere akipigwa fimbo vizuri atasema tuu hizo bangi hua ana uziwa na nani na hua anavutia wapi
Haka nako kamezidi sasa ,hata kama ni uchawa huu umevuka kiwango
Mkuu rudisha akili zako.Na wewe mpinge kwa Data. Dunia ya Leo ni Data tu za kiutafiti na kisayansi na siyo kupiga porojo zako hapa. Mheshimiwa Kafulila anaonyesha usomi wake na kuongea kisomi kabisa na kwa lugha nyepesi kabisa ambayo hata asiye na Elimu kama wewe anaweza kumuelewa kabisa
Ni rahisi kutaja lakini zinatolewa hizo pesa? Zinawafikia walengwa?? Vipi takwimu za rushwa, zinashuka au zinapaa? Tusiwe wepesi wa kusifia bajeti tukasahau na usimamizi wake.Na wewe mpinge kwa Data. Dunia ya Leo ni Data tu za kiutafiti na kisayansi na siyo kupiga porojo zako hapa. Mheshimiwa Kafulila anaonyesha usomi wake na kuongea kisomi kabisa na kwa lugha nyepesi kabisa ambayo hata asiye na Elimu kama wewe anaweza kumuelewa kabisa