Hahahahaha, nami binafsi nimekuelewa na hasa kwa nukuu hiyo .. Hahahahaha
Hilo jibu ungewaeleza CHADEMA ambao kwao Ufisadi ni mwarobaini wa chanzo cha umasikini nchini.Siamini kama tatizo kubwa ni ufisadi japo ni tatizo. Umaskini wa Tanzania unasababishwa na low production kwa sababu nchi imekosa innovative and visionary leaders.
Ulichokifanya siyo uchambuzi, ni fikra zako ambazo naamini siyo sahihi.Hilo jibu ungewaeleza CHADEMA ambao kwao Ufisadi ni mwarobaini wa chanzo cha umasikini nchini.
Nikichambua zaidi andiko lako ninagundua hujui hata maana ya ufisadi/wizi na athari zake katika maendeleo.
Innovative and visionary leader ni matokeo. Huwezi kuwa na innovative and visionary leaders wakati uzalishaji/upatikanaji wake uko katika msingi wa ufisadi.
Mama usipotoshe! Katambi hakuwa na nafasi kubwa kwenye chama? Mwigamba alikuwa mdogo ndani ya ACT? Waseme ukweli tu kwamba vyuma vimekaza hivyo wanatafuta pa kupumlia!!Vijana wanaingia upinzani hawapewi majukumu Kwa kuwa uongozi uko mikononi mwa wachache. Waache wajitafutie chimbo watakakotumika effectively
Umeona chifu! Huyu mjomba atakuwa bwenga!
Chukua mfano wa Patrobas unadhani angepewa jukumu gani zaidi ili abaki kwenye chama? Mwenyekiti wa Taifa wa Youth wing??? Halafu useme hawapewi majukumu? Ukweli ni kuwa wameahindwa majukumu.Vijana wanaingia upinzani hawapewi majukumu Kwa kuwa uongozi uko mikononi mwa wachache. Waache wajitafutie chimbo watakakotumika effectively
mnasema magufuli kakomesha ufisadi, awamu hii kwa hiyo ufisadi siyo ajenda kuu kwa vyama pinzani simple logic, labda kama ufisadi unaendelezwa na away hii ya mtukufu maguHujasema agenda ya vyama vya upinzani hapa Tanzania ni nn. So ufisadi sio inshu ya kuzungumziwa? Na kwann wanaogopa kilizungumzia
Unaposema wanaogopa kuuzungumzia unamaanisha nini? Hivi unajua maana ya ufisadi? kelele zinazopigwa na wapinzani kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa ndege wa CIA na namna tenda ilivyopatikana kwako sio issue? unachagua aina ya ufisadi?Hujasema agenda ya vyama vya upinzani hapa Tanzania ni nn. So ufisadi sio inshu ya kuzungumziwa? Na kwann wanaogopa kilizungumzia
ufisadi unaweza kupunguzwa kama sio kutokomezwa kabisa kukiwepo katiba mpya. hayo mengine ni porojoHilo jibu ungewaeleza CHADEMA ambao kwao Ufisadi ni mwarobaini wa chanzo cha umasikini nchini.
Nikichambua zaidi andiko lako ninagundua hujui hata maana ya ufisadi/wizi na athari zake katika maendeleo.
Innovative and visionary leader ni matokeo. Huwezi kuwa na innovative and visionary leaders wakati uzalishaji/upatikanaji wake uko katika msingi wa ufisadi.
Soma tena thread, ukiielewa uje u comment.Hujasema agenda ya vyama vya upinzani hapa Tanzania ni nn. So ufisadi sio inshu ya kuzungumziwa? Na kwann wanaogopa kilizungumzia
Kiongozi, hiyo ilikuwa ni typing error na nimeisharekebisha...ni sawa na mahali niliandika upinzania badala ya upinzani, nimejitahidi kufanya mabadiliko. Hao wasamehe bure tu...Mmeluka (skip) yote ya maana aliyoandika mmeona hilo tu. Watu mna shida au mnajichetua
Nenda kamuulize Kafulila, kama alijiunga (kwa Mara Nyingine tena) na Chadema 2016 ni kitu gani kilimvutia kujiunga nacho na sasa hicho kitu kimetoweka? Chadema sio wapuuzi wasahau mapema tabia za Kafulila, ndio maana hawakujihangaisha naye aliporudi, na yeye alitarajia angepata cheo. Sasa kuondoka kwa Kafulila Chadema, tena kwa kutumia hoja za uongo, kunamshusha zaidi Kafulila na kuipandisha Chadema kwamba ilikuwa sahihi kutojishughulisha naye hata aliporudi kwa Mara Nyingine!Kumbuka Kafulila anaposema wapinzani ana maana ya CHADEMA kwa sababu anaamini vyama vingine sio wapinzani bali ni matawi ya CCM na CHADEMA!
Kafulila alikuwa mwanachama wa CHADEMA , Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kwenye dibaji/utangulizi inasema Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi.
Nmekuwekea sehemu ya utanguliza wa Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA.
‘’Hivi karibuni Rais wetu, Jakaya Mrisho Kikwete, aliulizwa na waandishi wa habari wa Jijini Paris, Ufaransa kwamba “Nchi yako ina utajiri mkubwa wa maliasili, inakuwaje Watanzania ni masikini wa kutupwa?” Alijibu, kwa furaha na kwa kujiamini, “Hata mimi sijui sababu; ninajiuliza kila siku swali hilo lakini sijapata jibu!’’ Huyo ndio dereva wa gari tulilopanda; hajui anakotoka wala aendako. Sote tunaelewa hatari ya kupanda gari ambalo dereva wake hajui anapoenda. Kama Rais wa nchi hajui sababu kwa nini nchi yetu ni maskini atawezaje kupambana na huo umaskini? Hata hivyo, CHADEMA hatuamini kwamba Rais Kikwete hajui chanzo cha umaskini katika nchi yetu. Rais Kikwete anajua chanzo cha umaskini wa nchi yetu lakini hawezi kukitaja kwa kuwa yeye mwenyewe ni sehemu ya tatizo hilo''.
''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi. Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi’’.
Kwa mantiki hii, ajenda kuu ya CHADEMA ilikuwa ni kupambana na Ufisadi. Kwa sasa wameachana na ajenda yao kuu.
Hapa UK, waziri Priti Patel alilazimishwa ku-resign simply kaenda safari binafsi Israel ambayo kimsingi sio tatizo ila kitendo chake cha kukutana na viongozi wa Israel including their Prime Minister bila kujulisha Serikali yake ya Uingereza lilikuwa ni kosa kubwa sana kiasi cha kulazimishwa ku-resign...Lakini pia Waziri Boris Johnson alipata shinikizo la ku-resign baada ya kauli yake Bungeni kuwa mwanamama Nazanin alikwenda Iran kufundisha waandishi wa habari. Kauli ambayo ilisababisha mwanamama huyo kuitwa mahakamani tena. Ilibidi aombe msamaha bungeni kwa kauli yake na kuahidi kulishughulikia ikiwa nia pamoja na kwenda Irani baadaye mwezi huu kushughulikia jambo hilo.Opposition parties hapa Africa ni tofauti unavyofikiria wewe. Kwenye Demokrasia kuna mazuri yanayofanywa na chama tawala inatakiwa opposition parties waunge mkono na serikali inapokosa waikosoe. Nchi nyingi za ulaya huwezi kuona chama cha upinzani kinatoa kejeli na matusi kwa kiongozi aliyeko madarakani.
Reuters)
Obama’s family leaves Italy
Read Less
First lady Michelle Obama left Italy with her daughters, Malia and Sasha, as well as her mother, Marian Robinson. During their stay the Obama family visited the Milan Expo.
June 21, 2015 | 5:41 PM EDT
Mfano wa hapo juu familia ya Rais Obama walienda Italia kutembea kwa gharama ya walipa kodi wa Marekani lakini hakuna kiongozi wa chama cha upinzani alitoa tamko la kulalamika. Hapa serikali imejenga Airport Chato ambayo ipo Tanzania imekuwa tatizo kubwa. Kwa msimamo na speed ya serikali ya awamu ya tano Opposition parties Tanzania zitakufa natural death.
Maandishi na mtanzania wapi na wapi.Acha kuwa mgumu wa kuelewa bhana,kha !!
Jitahidi kulipitia tena andiko hapo juu.
Mnashupalia upinzani ""kuongelea ufisadi"Ni Tanzania pekee vyama vya upinzan vinaogopa kuongelea Ufisadi.
Mtakuja kumuelewa Dr Slaa Baadae sana alipouliza Edo ni Asset au Liability .