Kafulila amewakosea wapiga kura wake?

Kafulila amewakosea wapiga kura wake?

manga mseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
470
Reaction score
90
Uwezekano wa Kafulila kurudi bungeni umekuwa mdogo sana. Kwakweli kapoteza uaminifu kwa wapiga kura wake kwani anashindwa hata kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Amekuwa akifanya mikutano ya ndani tu na waudhuriaji wa mikutano hiyo ya ndani huwa wanavujisha siri zote za vikao.

Alitegeme ESCROW itambeba lakini mwanakijiji unamwelezea ESCROW inamsaidia nini zaidi ataona unamtajia mahesabu na mabilioni hewa tu.
 
Bado hujanishawishi ...jipange upya
 
subirini uchaguzi unakuja na kama sijakushawishi nikwambie mkutano wamwisho wa kafulila kuuzuria jimboni kwake ilikua kata ya nguruka kilicomkuta malaila wako ndio alikuepo alizomea vibaya na wapiga kura wake baada ya hapo ajaitisha mkutano mwingine kabisa
 
Nyie mnaompongeza hampigi kura jimboni kwake, Kafulila anatoka Uvinza na mimi natoka Uvinza hapa tu nyumbani wanamponda vibaya sana na kumuita mbuge wa bungeni sio wa kwao.
 
Kafulila aombe mungu jimbo ligawike ili agombee huko kwao Nguruka lakini likibaki kama lilivyo ajue hatopata kura za kata 6 kwani haijafanya chochote.
 
Wambie hao wanaompigania mbunge wao wa bungeni ukukwetu hana lolote alilofanya
 
Fedha za escrow zimeanza kufanya kazi. Hivi jimbo la kigoma mjini kwa miaka kumi limekuwa chini ya nani vile. ?je kimefanyika nini kikubwa wakati anatoka chama tawala. Tatizo la waha hawajasoma sana kupambanua mambo matokeo yake wanaendeshwa kwa uwongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom