Kammaliza zitto kwa kuendekeza ukabila
KAFULILA AISAMBARATISHA ACT KIGOMA.
Katika mkutano wa jana Kigoma mjini , aliyekuwa mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila alisisitiza kwamba watu wa Kigoma tusidanganywe na mwanasiasa yeyote kwamba kuna chama cha watu wa Kigoma.
Wala kigoma hatuna uhaba wa vyama. Kama kuna chama kinajiita cha watu wa Kigoma afadhali kijibadilishe kutoka chama cha siasa kiwe chama cha michikichi na mawese.
Ni aibu dunia nzima inajua UKAWA ndio tumaini la watanzania dhidi ya utawala mbovu wa ccm halafu kigoma tujazane ujinga wa vyama ambavyo ni matawi ya ccm.
Wanaeneza uzalendo kwa hisani ya ccm
Kammaliza zitto kwa kuendekeza ukabila
huyu jembe
Asante sana mheshimiwa sana kafulila kwa kuwapa somo zuri sana ndugu zetu wa kigoma ambao zzk alikuwa anawafanya wajinga na kuwadanganya,UKAWA NDIO TUMAINI LETU WATANZANIA
Ushabiki ni kitu kibaya sana. You suddenly stop using common sense.!!
Hivi ACT adui yao nani?
Narudia tena :LOWASA NDIYE CHAGUO LA WATANZANIA
Kweli nyani haoni kundule.Chadema mnaweza kumnyoshea kidole cha ukabila ACT??Ebu tuangalie safu ya uongozi ya ACT na CHADEMA.
Lowasa ndio mpango wa mungu
Zzk alitaka kujifanya mfalme wa kigoma,Tabora na Katavi,amechakazwa vibaya