MJITA HALISI 176
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 537
- 146
Huyu jamaa mbona hili suala kalifanya personal sana kuna nini nyuma yake..? Halafu mbona hayo majina ya hao vigogo hawayataji, wanaishia kusema kuna vigogo tu..???
Hata awali mulimwita tumbili. Subirini mtautambua tu mziki wakeAngewataja hao vigogo na kupeleka malalamiko yake pahali husika, ila hizi ngonjera sasa zinachosha.
Yaani bado unakaa na kumsikiliza Tumbili?Hawa ccm niswa na shetani wa mguu mumoja
hawana huruma na wa Tanzania
Tehetehetehe. Anatafuta umaarufu kwa njia za kijinga. Kala fedha za watu ili wamwadabishe Muhongo na Maswi. Sasa wanahangaika kusaka huruma ya wananchiattention seeker, haya baba tumekusikia, this time around utakua maarufu zaidi. Hongera.