Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,921
- 2,799
University of Dar Es Salaam BBA 2011 2013 NOT COMPLETED
Ni BBA gani hiyo anayosoma for 2 years UDSM ?
udsm hakuna hyo course ya BBA labda km diploma,angalieni course zinazotolewa pale UDBS hiyo course haipo. Nipo pale huu ni mwaka wng wa 3 huo ni uzushi. Hyo course ipo RUCO,TUMAINI,St.JOHN na CBE.
Hebu niwekeni sawa wana JF, hapa tunajadili elimu tuu au na sifa za kuwa mbunge?? Mbunge kiwango change cha usomi ni kipi?
Kama ni just Elimu yake, no comment, ila kama ni elimu yake na uhusiano na ubunge wake, i think STD Vii wapo na Form four poor wapo,
I am blind sometimes
udsm hakuna hyo course ya BBA labda km diploma,angalieni course zinazotolewa pale UDBS hiyo course haipo. Nipo pale huu ni mwaka wng wa 3 huo ni uzushi. Hyo course ipo RUCO,TUMAINI,St.JOHN na CBE.
nami pia ni form four lakini nina mpango wa kusoma diploma, na nimeamua kuiandika kwenye cv yangu sasa ili iwe inatumika hadi hapo nitakapoimaliza rasmi!tuletea mambo ya maana hapa kama hajasoma si akasome? Madam anayo division 3 ya form 6.anasifa na pesa anayo
University of Dar Es Salaam BBA 2011 2013 NOT COMPLETED
Ni BBA gani hiyo anayosoma for 2 years UDSM ?
msemakweli tulimpongeza sana kulipua vigogo wa CCM wenye vyeti bandia lakini Malagarasi hatutaki kumpongeza pengine kafulila naye ana vyeti bandia na amefanya hivyo kwa sababu anajua sifa ya kuwa mbunge ni kusoma na kuandika kwa hiyo elimu ya juu sana si ya kuhoji sana ni kama added advantage
jamaa si angekomaa tu aikamate hiyo BBA.Matatizo yameanza sasa.Hivi inawezekana kwa Tanzania,mbunge kuvuliwa ubunge kwa kosa la kudanganya elimu yake?
Ni kweli, Kafulila aliagirisha Masomo mwaka 2008, ila kwa mujibu wa tovuti ya Bunge inaonyesha alisoma mwaka 2006 mpaka 2008 ni ni graduate, huo ni uwongo!
2006-08 ni miaka miwili, alipata vip hii shahada wakati hutolewa miaka 3.mwenye meelezo mazuri aweke maana CV hii inaonekana kuchakachuliwa
Ninachojua ni kuwa alidisco mwaka wa pili na siyo kufukuzwa ila ana uwezo mkubwa kuliko wenye vyeti vya PhD
Bado ninsistiza, atueleze aliipata wapi na vyeti vyake vipo wapi? inaeleweka kuwa mpo wapenzi wa kafulila ambao mliwahi kuwashikia bango mawazili kadhaa kuwa ni mafisadi wa elimu, tunamtaka na jamaa yenu atueleze alisoma na kupata wapi shahada yake ya kwanza katika BBA na siyo kuja kubwabwaja? Atueleze, amezoea kusema uwongo sasa amekamatwa pabaya waziwazi, ktk hili hawezi kukwepa, akanunue vyeti udsm tuone kama anaweza. Aliipata wapi shahada yake? Umma unataka kujua, siyo kusema sema uongo halafu adhani hatujui
Salutation | Honourable | Member picture |
First Name: | David | |
Middle Name: | Zacharia | |
Last Name: | Kafulila | |
Member Type: | Constituency Member | |
Constituent: | Kigoma Kusini | |
Political Party: | NCCR-MAGEUZI | |
Office Location: | Box 22 Uvinza, Kigoma | |
Office Phone: | +255 716 426220 | |
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | dkafulila@parliament.go.tz | |
Member Status: | Current Member | |
Start date: | ||
End date: | ||
Date of Birth | 15 February 1982 |
EDUCATIONS | ||||
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Uvinza Primary School | Primary Education | 1991 | 1996 | PRIMARY |
Kiganamo Primary School, Kasulu | Primary Education | 1997 | 1997 | PRIMARY |
Chumvi Secondary School, Uvinza | O-Level Education | 1998 | 2001 | SECONDARY |
Shinyanga Secondary School | A-Level Education | 2002 | 2004 | HIGH SCHOOL |
National Democratic Institution (NDI) | - | 2009 | 2009 | CERTIFICATE |
Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES | - | 2007 | 2007 | CERTIFICATE |
University of Dar Es Salaam | BBA | 2011 | 2013 | NOT COMPLETED |
University of Dar es Salaam | BBA | 2006 | 2008 |
CERTIFICATIONS | |||
Certification Name or Type | Certification No. | Issued | Expires |
No items on list | |||
EMPLOYMENT HISTORY | |||
Company Name | Position | From Date | To Date |
The Parliament of Tanzania | Member - Kigoma South Constituency | 2010 | 2015 |
NCCR-Mageuzi | Director | 2009 | 2010 |
MRD | Director | 2009 | 2010 |
POLITICAL EXPERIENCE | |||
Ministry/Political Party/Location | Position | From | To |
NCCR-Mageuzi | Party Secretary General | 2009 | |
CHADEMA | Information Officer | 2008 | |
CHADEMA | Information Officer - Youth | 2007 |
PUBLICATIONS | |
Description | Published Date |
No items on list | |
SPECIAL SKILLS | |||
Skill Name or Description | Years Experience | Acquired Through | Skill Level |
No items on list | |||
RECOGNITIONS | ||||
Recognition Type | Recognition Date | Reason | Action Taken | Issued by |
No items on list | ||||
tunataka atueleze aliipata wapi? hata machali ana haki ya kuhoji iwapo anaelewa kuwa kafulila kalidanganya bunge kuhusu elimu yake?hoja ya msingi ni kafulila atueleze alisoma wapi na lini? kwa kuwa ni kfulila maneno kama ya chuki yameanza,ila kwa lukuvi, nchimbi,mkulo wakihojiwa elimu zao na kuitwa mafisadi wa elimu safi. Atueleze ilipata wapi hiyo BBA