Kafulila acha kupotosha JF na data za uongo

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,293
Reaction score
13,958
Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo.

Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya kupotosha watu na kuweka uchawa mbele.
 
Kafulila{kiha}
Kiswahili maana yake
{Kajifukia udongoni}.
Kwa kisukuma{Sufuria}...
Majina huumba.
 
Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo.

Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya kupotosha watu na kuweka uchawa mbele.
mtu makini anajibu hoja kwa facts pia sio maneno tu gentleman🐒
 
Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo.

Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya kupotosha watu na kuweka uchawa mbele.
Maua Mkuu 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐
 
Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo.

Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya kupotosha watu na kuweka uchawa mbele.
hivi kuna mtu anasomaga maandiko yake? Alivoanza uchawa me hata sisomgi mabandiko yake
 
Nikikumbuka enzi zile kafulila anachachafya serikali bungeni alafu Leo hii anaipaisha Kwa data za kupika, basi nabaki na butwaa, Cha msingi ni kuwa ameamua kuweka tumbo mbele na kuhakikisha anatetea watawala ili azidi kupandishwa madaraja ya uongozi
 
Kijana amejaza theory kichwani, mwambieni duniani 1+1 =2 aache kuishi kwa theory.
Dunia Iko mbali na hizo theory zake.
 
Inasikitisha sana ,njaa ya kafulila imehamia Kichwani yaani anaongea utafikiri wamemkata kichwa.
 
Ni mwendo wa uchawa tu, tulipofikia kama taifa ni kubaya sana, hakuna UZALENDO, hakuna UWAJIBIKAJI, maslahi binafsi yapi mbele zaidi.
Inasikitisha sana
 
Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo.

Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya kupotosha watu na kuweka uchawa mbele.
Hili zwaazwaa haliwezi kuishi bila i hawa na urongo
 
Back
Top Bottom