Kafara za ngono

we jamaa nilikuwaga nasoma madazako kwa umakini nikijuwa ni mkweli kumbe ni muongo kiasi hiki!!!!
 
Pili kafara huwa hazihitaji eti mtu ajirekodi na kuzituma mahali. Kafara ya ngono ww ukishafanya yako basi wao wanajua automatically. Hakuna digitalization kwenye mambo ya kafara
Hujamuelewa Mshana Jr,msome tena haswa para ya mwisho
 
we jamaa nilikuwaga nasoma madazako kwa umakini nikijuwa ni mkweli kumbe ni muongo kiasi hiki!!!!
Pole sana kuna wenzako wengine kama watano hivi nimewauliza uongo wangu uko wapi wameshindwa kuthibitisha.. Je wewe utaweza kufanya hivyo?
 
 
Kuna matukio makubwa na ya kutisha kwa hiki kipindi, sijui hata ni kwa nini aisee!!
 
hapo umetupa chai tena ya rangi haina hata sukari umemsingizia
 
kabisa Mkuu hapa katupa chai
 
kwahiyo shetani alitaka aione video? Maana ndio anahitaji kafara ana WhatsApp? Hapo umejichanganya mchawi wa jf rudi kwa gia nyingine
 
unachuki binafsi na mapepo yako
 
kwahiyo shetani alitaka aione video? Maana ndio anahitaji kafara ana WhatsApp? Hapo umejichanganya mchawi wa jf rudi kwa gia nyingine
Kama hujaelewa kitu uliza ueleweshwe ama pita kimya itakusaidia sana
 
Naamini Mshana hujatumwa na mtu, ila we mwenyewe ni agent wa kuzimu, na unadhani kwa tukio hili la kutengeneza utaiharibu Kazi ya Mungu kwa vi thread vyako vinavyo wadaka " simple minded people na haters", bado sana,

Mlishindwa madai ya kumtukana masonic wa Vatican, mkaja la kumtukana mkwere mkashindwa, mkadai kasema dengue haipo ni ugonjwa wa kutengenezwa...mkashindwa, mkasema anatumia na anauza unga...mkashindwa, mkadai amezaa na kale ka mama kajinga kalikolemewa na mizigo ya dhambi...mkashindwa na kukatoroshea wapi sijui!!!, sasa mmeona hii Photoshop itawaaminisha watazama mwenge, poleni.
 
.
 
Mshana jr..
Hii post yako wengi hawata elewa sababu ufahamu wa mambo haya ni hafifuu..

Sexual energy kama ulivyo ainisha ni nguvu ya kiroho inayomiliki mamlaka ya uhai,
Kiufupi baba mchungaji kafanikiwa kuharvest hii energy kirahisi kwa yeyote yule mtanzania aliyeweza kuona liletukio nakuli changanua/kulijadili kichwani mwake..

Hii ndio technologia yakupora nguvu za wenzio bila shuruti..wazembe hamuwezi elewa
 
 
Nilikuwa makini sana kutaka kujua article ilienda vizuri ila umeimwagia uchafu mwishoni kwa kumhusisha Gwajima kitu ambacho ile video ilikuwa feki tena baada ya kuithibitisha kwa technology ya kisasa. Hebu futa pale mwishoni kwa gwajima halafu uandike upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…