ama kweli leo nimeamini kuwa "duniani wawili wawili" kweli huyu bwana ni kama "wapigwe part 2.| kwani "anasawili na mtoto wa mkulima".
namshauli atafute nafasi ya kupiga picha moja ya ukumbusho na pinda au ofisini au nyumbani kwakwe apige picha yake na aibandike ukutani kam inavyokuwaga kwa picha za viongozi wakuu.
Mkuu mbona unataka kuniingiza chaka? Huyo sio Liwalo na Liwe Bwana ila maefanana naye. Sasa nataka kujua jina la huyo pacha wa Liwalo na Liwe anaitwaje?