SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,240
- 4,376
Mwambie ukweli...bikra it's there for one day utamla utamtoa ehe then what. Aya bac tumekupa tuzo wengine wote washamba we mwamba umekula bikra....so, bikra italea, bikra itaendesha familia, bikra italeta plans za maendeleo..ndo maana watu wenye fikra za ngono ngono na bikra hawaendelei ndo Hawa wazee wa alkasasus hamna kitu katika maendeleo.Huyo aliyefeli hafahi kuolewa! Hata ukimwangalia kila idara atakuwa kapwaya! Kama unataka kuoa vizia waliofeli kidato cha nne! Hata huyo form four failure hafai! Tafuta hela oa wanaojitambua kuanzia form six na kuendelea
Kama we ni kataa ndoa sawa, kama wewe unataka bikra na wewe uwe bikra kama dini mnazoamini zinavyosema, otherwise ni uchizi we umemla demu umetoa bikra afu unataka demu bikra yule aliyetolewa na wewe why hukumuoa, aolewe na Nani.. kingine if we sio bikra, oa mwanamke anayeweza kuleta maendeleo katika maisha yako haya umeoa after 7 drop out wa Huko Lindi wapi cjui afu ndo unakuta mshamba, elimu basic Hana, mshirikina, na bado baada ya kutoa bikra akaanza kugegedwa na wahuni wengine kwa kigezo Cha kwako haienjoy...asa utakuwa umefanya Nini.