Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Nawaambia vijana. Unavyozidi kuchelewa kuoa ndo huyo atakayekuwa mkeo anazidi kuchakazwa. Watu watamtumia weeeeeeeh... Ukija sema. Sasa naoa.
Amekwisha. Wamemgeuza geuza... Milango yote ipo wazi wadau ndio wanakuachia umalizie ngwe. Jioleee mapema utulie na mkeo angalau kupunguza wachakazi kuwa wengi.