GE2025 Kadogosa: Kelele za mitandaoni zipo enzi na enzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini, Masanja Kadogosa akizungumzia swala la kulinda amani hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania tarehe 29 mwezi wa 10 mwaka 2025

Kadogosa amesema swala la kelele za mitandao ya kijamii lilikuwepo tangu wakati wa viongozi wa nchi waliotangulia hivyo kuwasihi vijana kuhakikisha kelele hizo hazithiri amani ya nchi.

Ameuasa hayo alipokua akimuaga mgombea Urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiket ya chama cha mapinduzi ( CCm) Dkt Samia Suluhu Hassan ambae amekamilisha zaiara yake mkoani simiyu leo oktoba 11,/2025.
 
Alivyokuwa umbwe high school alionekana mtu wa maana kumbe mtu akiisha jiunga kwenye sunflower party anakuwa hovyo mno
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini, Masanja Kadogosa akizungumzia swala la kulinda amani hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania tarehe 29 mwezi wa 10 mwaka 2025

Kadogosa amesema swala la kelele za mitandao ya kijamii lilikuwepo tangu wakati wa viongozi wa nchi waliotangulia hivyo kuwasihi vijana kuhakikisha kelele hizo hazithiri amani ya nchi.

Ameuasa hayo alipokua akimuaga mgombea Urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiket ya chama cha mapinduzi ( CCm) Dkt Samia Suluhu Hassan ambae amekamilisha zaiara yake mkoani simiyu leo oktoba 11,/2025.
Kelele za mitandaoni zipo siku zote kwa maana hiyo tuelewe sii za kusikilizwa au maana ni ipi?
 
Back
Top Bottom