TEC hawahongwi kanga wala sukari.Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..
Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.
Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food
Kwahiyo hapa walikuwa wanachanganya siasa na mwani ?Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Kadinali mwenyewe siyo kiongozi wa kanisa wa nchiHakuna askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania ila Kuna kadinali wa Tanzania
Hukuwa na wito muzehe
Nahisi wito ninao ila wa mambo mengi e! Au wito ni Kwa Upadre tu mkuu?Hukuwa na wito muzehe!
Ahaha usicheke braza, ila kanisa achana-nalo Aisee!Yaani natamani niipate story full Nimecheka Sana mkuu Ila nisamehe. Mie nilichoka dogo mmoja alipopokea maelekezo ya kwenda itss kutoka kwa Paroko mmoja na recommendations zilitoka huko nasasa ni Afisa mkubwa huko kwa vipenyo Ila mpaka leo hajui nani alimpa kazi zaidi ya Paroko[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwa sijui walijuaje, au unataka kuwaza nini bila mfano?Unataka kusemaje yani kwa mfano?
Punguza ukali wa maneno.Wewe mjinga sana. Kanisa katoliki hakunaga askofu mkuu wa nchi. Kila jimbo lina mkuu wake, na huyo ni hapo Tabora tu sio mkuu wa Tanzania. Muwe mnauliza basi hierarchy ya kanisa!!!
Huyo hawezi na hana uwezo wa kulisemea kanisa kama mkubwa. Kuna mapadri makardinali kwa taarifa yako. Watu wengi hawalijui kanisa katoliki. Ila wanahisi wanalijua, kuna misconceptions nyingi sana hasahasa kutoka kwa wanasiasa na wanahabari.
Nina uhakika Samia anadhani huyo ndio mkuu wa kanisa Tanzania 😂 ni aibu kuwa wengi wapo ignorant , mpaka wengine wakadhani eti atakaa Dar. Shida ni pale Pengo alikuwa anapenda kuongea na media na media zinapenda kuongea na Pengo wakadhani ana authority kuliko wengine kumbe mwisho wake ulikuwa jimbo kuu la Dar es Salaam.
Huyo kardinali mwisho wake wa madaraka ni hapo jimbo la Tabora. Sisi wakatoliki wakati wa misa tuna sala ya waumini ambayo tunaanza kwa Papa then askofu wa jimbo husika, kwahiyo Dar au Moro au Arusha hawatamtaja Rugambwa! Why? Sababu ni askofu wa jimbo la Tabora. Ukardinali ni more ceremonial tu sio authoritative. Chukueni hiyo.
TEC ndiyo chombo kikuu cha Kanisa Katoliki Tanzania. Chombo hicho kinakuwa chini ya Rais wa TEC.Duh! Nilizaliwa kwenye ukatoliki na kubatizwa huko ila nilijua kadinali ndiyo askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania kumbe sivyo. Kwa hiyo papa anaweza kuteua makadinali zaidi ya mmoja katika nchi moja? Sasa kwa ujumla nani ni mkuu wa kanisa katoliki Tanzania ukijumuisha majimbo yote? Nani analisemea kanisa huko serikalini? Au ndio hao TEC kwa pamoja?
Hakunaga zamu ni Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Bakwata tu [emoji23]
TEC kwisha kazi , choka mbaya garagaza kabisaa [emoji1787]
Kuna neno umelisahau ni Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume 😀Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Kuna neno umelisahau ni Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume 😀
ambalo, akiwa ni ..., then ni lazima awe ...!.
P
Kuna neno umelisahau ni Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume 😀
ambalo, akiwa ni ..., then ni lazima awe ...!.
P
Fuatilia historia vizuri, Nyerere alianza kucheza bao tangu akiwa nyumbani kwao Butiama na sababu hiyo ilipelekea yeye kupelekwa shule baada ya kuwafunga baadhi ya marafiki wa baba yake alipocheza nae na kudhihirisha kuwa ana upeo mkubwaHata Nyerere alisoma Tabora boys
Akaomba support ya wazee wa Tabora kupata Uhuru wa Tanganyika
Na ndiko alikojifunzia kucheza bao na kunywa kahawa kama maza leo
Hiyo ndio mboka ya manyema
Aka Toronto
Hakuna Askofu mkuu wa kabisa katoliki Tanzania.Ni vema kabla kuandika na kupost uliza kwanza vyeo kabisa vimekaaje.Kwanza Rugambwa bado yupo chini ya Ruzoka Jimbo kuu la Tabora.Atakaporithi kiti atakua Askofu mkuu wa Jimbo la Tabora na mamlaka yake yataishia "Jimbo la Tabora"elewa Jimbo la Tabora.Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.