Hakuna askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania ila Kuna kadinali wa Tanzania
Hapana. Huyo mwandamizi ni Askofu Mkuu mtarajiwa (bila shaka, Askpfu Mkuu Ruzoka, umri utakuwa unampeleka kwenye mapumziko).Ambapo kiutendaji huyu mwandamizi ni mkubwa kwa askofu ama?
Hiyo ni semantics tuu...kwa mfano ukisema Mbunge wa JMT au US Senator...mleta mada anaweza asiwe na uelewa mkubwa wa hierarchies za RC , lakini uwakilishaji wake hajakosea sana...Rugambwa ni Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Nchini TZ ambaye kituo chake cha Kazi ni Tabora, kama mnakumbuka Ruwaichi alikua Mwanza akahamishiwa Dar...pia Protase ni kardinal ambaye kituo chake cha Kazi ni Tanzania...wenye kumbukumbu kuna interview alifanya Askofu kilaini na akasema kanisa katoliki TZ lina bahati kubwa sana kuwa na makadinali wawili ambao wanauwezo wa kumchagua Pope ,ikitokea vacancy...Hakuna kadinali wa Tanzania bali kuna kadinali mtanzania
Kwamba dada yako kuolewa na mKKKT ndo ww ukafukuzwa seminari [emoji28][emoji28].Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..
Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.
Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food
Kila jimbo lina mamlaka kamili chini ya Askofu wake. Kwa hiyo Mwadhama Rugambwa hana mamlaka yoyote nje ya jimbo lake. Hadhi yake ya ukadinali ni kwenye kumchagua papa ama yeye kuchaguliwa, hamna cha ziada. Papa atashauriwa na makadinali na maaskofu wa "Curia".Hiyo ni semantics tuu...kwa mfano ukisema Mbunge wa JMT au US Senator...mleta mada anaweza asiwe na uelewa mkubwa wa hierarchies za RC , lakini uwakilishaji wake hajakosea sana...Rugambwa ni Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Nchini TZ ambaye kituo chake cha Kazi ni Tabora, kama mnakumbuka Ruwaichi alikua Mwanza akahamishiwa Dar...pia Protase ni kardinal ambaye kituo chake cha Kazi ni Tanzania...wenye kumbukumbu kuna interview alifanya Askofu kilaini na akasema kanisa katoliki TZ lina bahati kubwa sana kuwa na makadinali wawili ambao wanauwezo wa kumchagua Pope ,ikitokea vacancy...
Na kwa ranks ya kanisa ilivyo Rugambwa sio Askofu Mkuu wa kawaida..yeye ndie mshauri Mkuu wa pope kutokea kanisa katoliki Nchini Tanzania...
Huwezi kumwita PM Majaliwa au Mawaziri eti ni wabunge tuu kama kina kibajaji,Msukuma na wengine wa aina yao.
Unadhani TEC ni bakwata eeeh subiri hapo hapoTEC kwisha kazi , choka mbaya garagaza kabisaa [emoji1787]
Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Kuna aliyebisha kuhusu "mamlaka kamili" ya Jimbo lolote!?Kila jimbo lina mamlaka kamili chini ya Askofu wake. Kwa hiyo Mwadhama Rugambwa hana mamlaka yoyote nje ya jimbo lake. Hadhi yake ya ukadinali ni kwenye kumchagua papa ama yeye kuchaguliwa, hamna cha ziada. Papa atashauriwa na makadinali na maaskofu wa "Curia".
Sijapanic kaka Yohana Mbatizaji. Nimejipendekeza kutoa ufafanuzi tu basi. 😊😊Kwani nani kakubishia hadi umepanic? 😂😂🔥
Kuna majimbo sio Makuu Mkuu... kuna Askofu kama kilaini au yule wa Rulenge na karagwe and then kuna kina Ruzoka na Ruwaichi.Hakuna Askofu Mkuu RC. Kila dayosisi na Jimbo Lina mkuu wake.
Hakuna Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, kuhusu kuhamishwa kwa Ruwaichi kuja Dar ni kwasababu alionekana anaweza kuwa mrithi sahihi wa Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo kama Askofu Mkuu wa jimbo la Dar es salaam.Kun
Kuna aliyebisha kuhusu "mamlaka kamili" ya Jimbo lolote!?
Besides issue ni kuhusu Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Tanzania...ndio maana nimemgusa Askofu Mkuu Ruwaichi aliyekuwa Jimbo kuu Mwanza na akahamishiwa Dar.
YesNamuona Mzee LUKUVI hapo,,, Au macho yangu 🤔🤔🤔
Kwahiyo ni Askofu Mkuu wa kanisa lipi!? Na nchi ipi?!Hakuna Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, kuhusu kuhamishwa kwa Ruwaichi kuja Dar ni kwasababu alionekana anaweza kuwa mrithi sahihi wa Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo kama Askofu Mkuu wa jimbo la Dar es salaam.
Yaani sasa hivi CCM inaokoteza lolote lile ilimradi halimkeri mamaMama wa taifa ndio mududu gani?
Nadhani kuna vitu utakua unachanganya ukisikia neno Mkuu, imeelezwa hata hapo juu kuwa Tanzania kuna majimbo makuu (Archidiocesses) saba amabayo kila moja linaunda Ecclesiastical province kwenye mkutano wa TEC.Kuna majimbo sio Makuu Mkuu... kuna Askofu kama kilaini au yule wa Rulenge na karagwe and then kuna kina Ruzoka na Ruwaichi.
Pumbavu kabisaAskofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Naona huelewi mahusiano ya kadinali na nchi. Sio lazima kila nchi iwe na kadinali na zipo nchi zenye makadinali wengi. Majukumu ya ukadinali hayana uhusiano wowote na nchi anayotoka. Kwa hapa tz Rugambwa ni askofu mkuu kama walivyo wengine na hana jukumu la kipekee kwa kanisa la TanzaniaHiyo ni semantics tuu...kwa mfano ukisema Mbunge wa JMT au US Senator...mleta mada anaweza asiwe na uelewa mkubwa wa hierarchies za RC , lakini uwakilishaji wake hajakosea sana...Rugambwa ni Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Nchini TZ ambaye kituo chake cha Kazi ni Tabora, kama mnakumbuka Ruwaichi alikua Mwanza akahamishiwa Dar...pia Protase ni kardinal ambaye kituo chake cha Kazi ni Tanzania...wenye kumbukumbu kuna interview alifanya Askofu kilaini na akasema kanisa katoliki TZ lina bahati kubwa sana kuwa na makadinali wawili ambao wanauwezo wa kumchagua Pope ,ikitokea vacancy...
Na kwa ranks ya kanisa ilivyo Rugambwa sio Askofu Mkuu wa kawaida..yeye ndie mshauri Mkuu wa pope kutokea kanisa katoliki Nchini Tanzania...
Huwezi kumwita PM Majaliwa au Mawaziri eti ni wabunge tuu kama kina kibajaji,Msukuma na wengine wa aina yao.