Elections 2010 Kadi za CHADEMA kumbe feki; KIKWETE adanganywa tena

Hivi inawezekanaje kadi zote ziwe mpya kiasi hiki? Kadi nyingi ukiziona kawaida baada ya muda huwa zina-fade au kuchakaa kidogo!! Sasa hizi je, imekuwaje? Kanyaboya lingine hilo.

Upya wa kadi siyo kigezo cha kubainisha kwamba kikwete kadanganywa.Lete vielelezo sahihi vinovyobainisha kuwa kadi alizopokea kikwete ni fake
 
JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana

08_10_9ha1yf.jpg

A serious note! Raisi wetu ni mgonjwa wale wa kwenye fani ya afya wanaweza kubaliana nami, hana mng'alo wa mtu aliye mzima inawezekana amechoka ama ametindikiwa na msongo wa mawazo. Take a rest Mr Predidaaa
 
Hapa https://www.jamiiforums.com/uchaguz...oad-towards-2010-elections-76.html#post477649
nilisema vivi:

"Mjomba Eeeh!
Ulipoanguka Jangwani walisema ni uchovu wa kampeni mfululizo bila mapumziko. Hatukuhoji sana
Sasa tumesikia tena na huko Magogoni unaanguka anguka hovyo. Eti unashindwa masharti ya mwezi mchanga! Toba
Si siku zote mwasema; utamaduni wetu vijiti kupokezana?! Sasa vp wewe wang'an'gania?
Kuachia kiti kitamu si upumbavu; Afya ni bora kuliko cheo, waache nao wachukue tu......!
Natania tu Mjomba; Nikipata nauli nitakuletea wapiga dua

Kasha nikaliona hili kwa maneno haya:

"Kama utaangalia vizuri, utabaini tayari uso wa mjomba umeanza kupoteza rangi ya kung'aa kwake kwa asili." Mahsusu

Rev. Masanilo tupo ukurasa mmoja; kumbe nawe sasa umeliona!
 
Sisi wengine tuliishaambiwa hivyo tangu siku ileile kwani na ndugu zetu waliokuwepo na waliokaribu na ndugu hao walisema kuwa yoote hayo ni sababu tu ya kulishwa pilau na ccm na wala hakukuwa na kitu km hicho
huo ndiyo mchezo utakaotumiwa kuchakachua kura pale oct.31.............wanachadema mbeya kuweni makini na hapa mwenye kuielewa jinsi ccm wanavyopata ushindi wa..............kama wanaweza kuchakachua kura za upinzani je,za kwao si itakuwa raisi sana kujitengenezea?????????????
Lindeni kura zetu huko tafadhari
 
Ndo silaha za mapambano izo wakati apo apo mabalizi CCM walishinda kwa ushindi finyu last time.
Kadi mpya toka kwa wakazi wa mbalizi ambao 80% ni wakulima ie utunzanji wa kadi kwa upya huo labda DSM
 
Tatizo la JK ni sifa na wasaidizi wake wanalielewa hilo. Ule mchezo wa Mbalizi kafanyiwa na viongozi wa CCM Mbeya katika kujipendekeza kwa kwa bosi wao. Wanafahamu fika kwamba Mbalizi ni ngome ya CHADEMA hivi sasa kama ilivyo Tunduma, kwa hiyo kuonekana wamefanyakazi walitengeza usanii wa kubomoa ngome ya chadema pale Mbalizi.

Seme na wenzake walishindwa kwenye chaguzi halali, hivyo sio vingozi tena na kujiondoa kwake chadema kulisharipotiwa siku nyingi kwa hiyo haikuwa habari tena, na hata alipotambulishwa kwenye mkutano ule wananchi waliguna.

Katika kumuonyesha JK kwamba wao hawababaishwi, wananchi walikaa kimya hata alipotambulishwa mgombea ubunge Mch. Mwanjale.
 
Hali ilivyo hadi sasa CHADEMA wanayo nafasi kubwa ya kuyachukua majimbo ya Mbeya Mjini na Mbozi Magharibi, wanachotakiwa kufanya ni kuelekeza nguvu zao huko kwa kuwasaidia wagombea wao, wasiwaache wajitegemee kwani CCM wanalielewa hilo hivyo watajiandaa kwa ghiliba zozote zile
 
Asante sana Nsesi! Usiwe unapotea sana hasa kipindi hiki
 
A serious note! Raisi wetu ni mgonjwa wale wa kwenye fani ya afya wanaweza kubaliana nami, hana mng'alo wa mtu aliye mzima inawezekana amechoka ama ametindikiwa na msongo wa mawazo. Take a rest Mr Predidaaa

MKUU REV MAS

Kwani mabango ya JK ambayo yamesambazwa dar es salaam ukiangalia vizuri PICHA ZAKE ZINAONESHA MUNGARO WA AINA YAKE?

jE MPIGA PICHA ALIKOSEA?
 
MKUU REV MAS

Kwani mabango ya JK ambayo yamesambazwa dar es salaam ukiangalia vizuri PICHA ZAKE ZINAONESHA MUNGARO WA AINA YAKE?

jE MPIGA PICHA ALIKOSEA?

Kiongozi picha za kwenye Mabango zimefanyiwa nakshi na brushing! hizi za sasa zinatoka kama alivyo kwenye uhalisia
 
Tatizo la JK ni sifa na wasaidizi wake wanalielewa hilo. Ule mchezo wa Mbalizi kafanyiwa na viongozi wa CCM Mbeya katika kujipendekeza kwa kwa bosi wao. Wanafahamu fika kwamba Mbalizi ni ngome ya CHADEMA hivi sasa kama ilivyo Tunduma, kwa hiyo kuonekana wamefanyakazi walitengeza usanii wa kubomoa ngome ya chadema pale Mbalizi.

Seme na wenzake walishindwa kwenye chaguzi halali, hivyo sio vingozi tena na kujiondoa kwake chadema kulisharipotiwa siku nyingi kwa hiyo haikuwa habari tena, na hata alipotambulishwa kwenye mkutano ule wananchi waliguna.

Katika kumuonyesha JK kwamba wao hawababaishwi, wananchi walikaa kimya hata alipotambulishwa mgombea ubunge Mch. Mwanjale.

Mkuu Nsesi, umezungumza yote hapa! mwenye macho haambiwi tazama.........!

''Watanzania si mwabwege tena''......wakukubali kudanganywa kirahisi vile kama kiini macho kilichofanyika pale Mbalizi......! Ni aibu kubwa sana kwa JK!
 
Back
Top Bottom