Elections 2010 Kadi za CHADEMA kumbe feki; KIKWETE adanganywa tena

Kumbe hata wengine waliona, kadi mpyaaaaaaa! Propaganda zingine jamani!

Ila kutumia CHADEMA means wanakiogopa chama cha bwana SILAHA.
 
Tanzania daima leo imeripoti kuwa, imegundulika kuwa wanachama 400 wa CHADEMA waliorejesha kadi zao kwa KIKWETE na kukabidhiwa za CCM, kumbe ni mamluki na kadi zilikuwa feki. Hata viongozi waliosema wamejiunga na CCM kumbe sio kweli, walikuwa wameshafukuzwa kutoka CHADEMA long time.

Mkuu kadanganywa, kacheka hadi jino la IDD linaonekana...

Nadhani Guiness wanatakiwa wamrekodi katika kitabu chao, probably ndiye raisi anayeongoza kwa kudangaywa...


Subiri nikupostie evidence ya gazeti moja la mwaka jana kwamba wale walikuwa kweli viongozi wa CHADEMA,tena wa kutegemewa hasa Ipyana.
 
Simshangai huyu!

attachment.php

hahahahaha....! sasa mtu kama huyu ataweza kuona maandishi ya mikataba ya richmond kweli...? pamoja na kuvaa miwani.....heheeh
 
Huna lolote wewe, Zipo picha za Huyo mgombea wenu akila d*nda na mke wa mtu weka za huyo aliyekaa kihasara hasara uuone moto



Mke wa mtu unasema wewe? mbona mumewe halalamiki?Hamuoni haibu.Tukiingiza mjadala huo Sidhani kama Page zitatosha za mkwere na makamba,Ni heri huyu wa kwetu ameweka hadharani ,mbona mumewe hakuweka pingamizi ?Hatudanganyiki.

Wao wameelewana na kuwekana hadharani hiyo ndiyo nidhamu nzuri kwa viongozi na uwazi unaotakiwa.
 
Huyu ni baba yetu na haya ni maziwa yetu HUYU NDIYE RAIS WA TANZANIA i can't beleive na watanzania bado tunamwamini.

Kadi+za+Chadema+Mbozi.jpg


attachment.php


jk_203.jpg
 
Huna lolote mchungaji feki...............weka hizo picha kama unazo! CHADEMA mnataka kutujengea imani kuwa ni chama cha wambeatu!

Hivi ile picha iliyofanya ZEUTAMU kufungwa ilikuwa inahusu nini tehe tehe tehe
Pemba wakiona wazee watasema yakheee hakuna rais pale ,hapati kura yangu ahaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom