Nenda Tume ya Uchaguzi wakupe "panga jipya"Wakuu, naomba mnisaidie hivi ikatokea kadi ya kupigia kura imevunjika nafanyaje kupata nyingine
naomba msaada asee
Yeah but process ndefu ndefu kidogokwann sasa mpaka 2020. cha taifa je nakipataje,?
Je ulisha omba ukafanikiwa maana hata mm yangu ilipoteaYeah but process ndefu ndefu kidogo
Wasiliana na NIDA tu....
Weka namba za hiyo kadi hapa kesho nikutengenezee yakoWakuu, naomba mnisaidie hivi ikatokea kadi ya kupigia kura imevunjika nafanyaje kupata nyingine
naomba msaada asee
Huwa wanatoa nyingine? Maana tumepotelewa na hizi kadiPata Police loss report, then nenda nayo Tume ya uchaguzi wafanye mchakato wa kukupa nyingine.