Iweke toilet ui-flash mara nyingi mpaka ipotee!!!!!
Tafadhali sana ilejeshe katika tawi lolote la karibu la CCM.Jamani mimi ni kijana ambaye najisikia vibaya kuendelea kuitwa mwana sisisem, nina kadi ya sisisem na nataka niachane nao nijiunge na CHADEMA, naomba mnisaidie maswali yafuatayo yananitatiza:-
1. Ni lazima niende nikarudishe hii kadi ya sisisem au naweza kuitupa tu then nikachukua ya CHADEMA?
Plz nishauri.:hug: