Mwisho wa dunia!!!!!! na haya ni mambo ya kuiga hizi sio tabia zetu, sasa haya yanaonekana wanayoyafanya je? hayo tusiyoyaona si ndio balaa kubwa Khhhhhhhhhhh
upande wa pili hautoi huduma ipasavyo!
ni kwamba wengi wetu hawajui mahitaji ya hivi viumbe katika hayo mambo,kwa hiyo wakikutna wao wanajua namna ya kuridhishana vema.

ni kweli sasa hivi nguvu za kiume ni janga la Taifa, wewe jaribu kwenda manzese pale useme nauza dawa za nguvu za kiume uone jinsi vijana watalavyokukimbiliA.....iatakuoa uchambuzi wa kina