Kadhi mkuu amkana Ponda

Kadhi mkuu amkana Ponda

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
KITAIFA
[h=1] [/h]Na Tausi Ally

Posted Alhamisi,Decemba13 2012 saa 22:12 PM

KWA UFUPI

Baada ya kuambiwa hivyo, Habibu alidai kuwa hakuna hata mmoja anayefamfahamu katika utendaji wa kazi za Uislamu kama kiongozi kwenye baraza lakini akawatambua kimavazi kuwa ni waumini wa Kiislamu. “Ila kwa kuona, muungwana ishalaa inamuonyesha kuwa kuna baibui, kanzu na kofia (baraghashia) inaonekana kuna Waislamu na wasio Waislamu.”

KADHI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habibu (49) amekana kumfahamu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Ponda Issa Ponda na wafuasi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Habibu alikana kumfahamu Ponda na wafuasi wake jana Mbele ya Hakimu Mkazi, Ritha Tarimo mara baada ya kutakiwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka awatazame kina Ponda na aelezee iwapo kuna mmoja aliwahi kuingia kwenye Baraza la Maulamaa wa Bakwata.

Akiendelea kutoa ushahidi wake, Kadhi huyo aliiambia mahakama ; “Nathibitisha kuwa Kampuni ya Agritanza Ltd inamiliki lile eneo kwa Uhalali na kwamba haikupita uchochoroni ikaruka ukuta ikaingia ndani ya hilo eneo, ilifuata utaratibu na kupokea hati zote na haki yake,” alisema Habibu.

Alifafanua kuwa Baraza la Maulamaa ni chombo kinachotoa uamuzi ya mwisho na kutoa miongozo mbalimbali kwa Waislamu na kwamba Bakwata inawakilisha Waislamu wote Tanzania.

Alidai kuwa Baraza hilo la Maulamaa linaundwa na wajumbe 10 kutoka mikoa mbalimbali na kwamba mjumbe huteuliwa kutokana na kuwa na kiwango cha elimu kilichopevuka na uadilifu.

“Baraza hili linamiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika na sisi ndiyo tunachukua uhimizwaji wa kuulizwa na kudodoswa kila kilichopo ndani ya Bakwata kwa kuwa ni lazima tuhusishwe hususan katika masuala ya elimu,” alisema Habibu.

Kwa mujibu wa maelezo ya Katiba, vikao hufanyika mara mbili kwa mwaka chini ya Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa pamoja na vikao vya dharura. “ Januari 3, 2011, tulifanya kikao cha kawaida ambacho kilikuwa na agenda tatu ikiwemo ya umuhimu wa kujenga chuo Kikuu cha Kiislamu ambapo wajumbe walipendekeza kijengwe katika maeneo ya Dodoma, Tanga ama Chang’ombe.”

Baada ya kutolewa kwa ushahidi huo, mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Agritanza Ltd, Seleman Mohamed (48) akitoa ushahidi wake aliiambia mahakama hiyo kuwa yeye ni mfanyabiashara na kwamba ni kweli wao waliingia mkataba na Bakwata wa kubadilishana ardhi ekari nne kwa ekari 40.

Kesi itakuja kwa ajili ya kutajwa Desemba 18, mwaka huu na itaendelea kusikilizwa Desemba 31, mwaka huu.

Ponda, Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Mukadam Abdallah Swalehe (45) na wafuasi wao wanakabiliwa na mashtaka matano yakiwemo ya uchochezi, kula njama na wizi wa mali yenye thamani ya Sh59.6 milioni.

Katika shtaka la uchochezi, Shekhe Ponda na Shekhe Mukadam wanadaiwa kuwa kati ya Oktoba 12 na 16, mwaka huu katika eneo la Chang’ombe Malkazi,akiwa kama Kiongozi wa Baraza na Jumuiya ya Kiislamu Tanzania aliwashawishi wafuasi wake kutenda makosa hayo

“Kutokana na mapendekezo hayo, tuliafikiana kijengwe Chang’ombe lakini ikaonekana kuwa Chuo Kikuu cha Kiislamu kinahitaji sehemu kubwa na pale kuna Ekari 4 hapatoshi,” alisema shahidi huyo wa pili wa upande wa mashtaka.

Hivyo walimtaka Katibu Mkuu wa Baraza la Maulamaa na timu yake wafanye mchakato wa kutafuta eneo maalumu kubwa ambalo wataweza kujenga chuo hicho Kikuu cha Kiislamu na kwamba baada ya siku nne au tano walipigiwa simu na kuwa wanahitajiwa Makao Makuu (Bakwata).

Shahidi huyo alidai kuwa walipofika waliambiwa kuwa kuna kikao cha dharura na kupatiwa taarifa na Katibu Mkuu wao juu ya mchakato huo wa kutafuta eneo kuwa kampuni ya Agritanza Ltd ilijitokeza na kutaka tuwape zile ekari nne na wao watupe ekari 40 huko Kisarawe Pwani.

“Sisi tuliona ekari 40 kwa ekari 4 ni kama ardhi na mbingu na Mungu alisikia kilio chetu akawaleta hao na tukaona kabla ya mazungumzo twende tukaone, tulipofika Manshalaa eneo lilikuwa sehemu nzuri, linapendeza, linavutia na mimi nilikuwa wa kwanza kuwashawishi wenzangu tukubaliane na mabadilishano na mchakato ukafanyika,” aliongeza shahidi huyo mahakamani hapo.

Hivyo Baraza la Maulamaa liliridhia kutoa maamuzi kwa Baraza la Wadhamini kufanyika kwa mchakato na makubaliano wa maeneo hayo.

Sasa kila MTU anamkana SHEIKH PONDA? Mnadhani atabakia JELA MILELE? SUBIRINI atoke na Mnaomkana kila MTU mtakiona cha MOTO...
 
KITAIFA
Na Tausi Ally

Posted Alhamisi,Decemba13 2012 saa 22:12 PM

KWA UFUPI

Baada ya kuambiwa hivyo, (1)
Habibu alidai kuwa hakuna hata mmoja anayefamfahamu katika utendaji wa kazi za Uislamu kama kiongozi kwenye baraza lakini akawatambua kimavazi kuwa ni waumini wa Kiislamu. “Ila kwa kuona, muungwana ishalaa inamuonyesha kuwa kuna baibui, kanzu na kofia (baraghashia) inaonekana kuna Waislamu na wasio Waislamu.”

(2) KADHI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habibu (49)

Alifafanua kuwa Baraza la Maulamaa ni chombo kinachotoa uamuzi ya mwisho na kutoa miongozo mbalimbali kwa Waislamu na kwamba (3)
Bakwata inawakilisha Waislamu wote Tanzania.

Hiyo red ya 1, ni maneno ya kinafiki ambayo yatamuingiza motoni tu. Hiyo red ya pili inanishangaza, kwani mahkama ya Kadhi CCM walishaipitisha, ci waliwakana waislamu, iweje leo kuna Kadhi. Hebu nifahamisheni jamani Mahkama ya Kadhi imeanzishwa lini hata leo tuwe na Makadhi?
Na hiyo red ya tatu si kweli, huyo "Kadhi" pamoja na unafiki alionao lakini pia muongo mkubwa tena aliyekubuhu. Hivi yeye hajui kweli kuwa Bakwata haiwakilishai Watanzania wote hadi umri huo wa miaka 49? Maana hata wasio waislamu wanajua kuwa Bakwata haiwakilishi waislamu wote iweje yeye asijue hilo.
 
Sheikh Ponda Mpambanaji wa Ufisadi katika Taasisi zinazotumia jina la Dini kudhulumu!
 
Huyu ponda anayechoma makanisa ndio mnamsifia? Nendeni mkamtoe segerea kwanza
 
Sasa bado yuko rumande au?? am i about to lose the plot?? mbona uandushi wa hii article uko very poor sana, message sent lakini skills za mwandishi zinaumiza kichwa dahhh!!.:bowl:
 
Waislam ushirikiano umetoweka?kwa nini yasifanyike maandamano kama yale ya kidongochekundu kumtoa Ponda rumande?
 
hiyo red ya 1, ni maneno ya kinafiki ambayo yatamuingiza motoni tu. Hiyo red ya pili inanishangaza, kwani mahkama ya kadhi ccm walishaipitisha, ci waliwakana waislamu, iweje leo kuna kadhi. Hebu nifahamisheni jamani mahkama ya kadhi imeanzishwa lini hata leo tuwe na makadhi?
Na hiyo red ya tatu si kweli, huyo "kadhi" pamoja na unafiki alionao lakini pia muongo mkubwa tena aliyekubuhu. Hivi yeye hajui kweli kuwa bakwata haiwakilishai watanzania wote hadi umri huo wa miaka 49? Maana hata wasio waislamu wanajua kuwa bakwata haiwakilishi waislamu wote iweje yeye asijue hilo.

kadhi ubwabwa huyo,,

msachi mfukoni utamkuta na ndizi
 
KITAIFA
Na Tausi Ally

Posted Alhamisi,Decemba13 2012 saa 22:12 PM

KWA UFUPI

Baada ya kuambiwa hivyo, Habibu alidai kuwa hakuna hata mmoja anayefamfahamu katika utendaji wa kazi za Uislamu kama kiongozi kwenye baraza lakini akawatambua kimavazi kuwa ni waumini wa Kiislamu. "Ila kwa kuona, muungwana ishalaa inamuonyesha kuwa kuna baibui, kanzu na kofia (baraghashia) inaonekana kuna Waislamu na wasio Waislamu."

KADHI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habibu (49) amekana kumfahamu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Ponda Issa Ponda na wafuasi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Habibu alikana kumfahamu Ponda na wafuasi wake jana Mbele ya Hakimu Mkazi, Ritha Tarimo mara baada ya kutakiwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka awatazame kina Ponda na aelezee iwapo kuna mmoja aliwahi kuingia kwenye Baraza la Maulamaa wa Bakwata.

Baada ya kuambiwa hivyo, Habibu alidai kuwa hakuna hata mmoja anayefamfahamu katika utendaji wa kazi za Uislamu kama kiongozi kwenye baraza lakini akawatambua kimavazi kuwa ni waumini wa Kiislamu. "Ila kwa kuona, muungwana ishalaa inamuonyesha kuwa kuna baibui, kanzu na kofia (baraghashia) inaonekana kuna Waislamu na wasio Waislamu."

Akiendelea kutoa ushahidi wake, Kadhi huyo aliiambia mahakama ; "Nathibitisha kuwa Kampuni ya Agritanza Ltd inamiliki lile eneo kwa Uhalali na kwamba haikupita uchochoroni ikaruka ukuta ikaingia ndani ya hilo eneo, ilifuata utaratibu na kupokea hati zote na haki yake," alisema Habibu.

Alifafanua kuwa Baraza la Maulamaa ni chombo kinachotoa uamuzi ya mwisho na kutoa miongozo mbalimbali kwa Waislamu na kwamba Bakwata inawakilisha Waislamu wote Tanzania.

Alidai kuwa Baraza hilo la Maulamaa linaundwa na wajumbe 10 kutoka mikoa mbalimbali na kwamba mjumbe huteuliwa kutokana na kuwa na kiwango cha elimu kilichopevuka na uadilifu.

"Baraza hili linamiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika na sisi ndiyo tunachukua uhimizwaji wa kuulizwa na kudodoswa kila kilichopo ndani ya Bakwata kwa kuwa ni lazima tuhusishwe hususan katika masuala ya elimu," alisema Habibu.

Kwa mujibu wa maelezo ya Katiba, vikao hufanyika mara mbili kwa mwaka chini ya Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa pamoja na vikao vya dharura. " Januari 3, 2011, tulifanya kikao cha kawaida ambacho kilikuwa na agenda tatu ikiwemo ya umuhimu wa kujenga chuo Kikuu cha Kiislamu ambapo wajumbe walipendekeza kijengwe katika maeneo ya Dodoma, Tanga ama Chang'ombe."

Baada ya kutolewa kwa ushahidi huo, mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Agritanza Ltd, Seleman Mohamed (48) akitoa ushahidi wake aliiambia mahakama hiyo kuwa yeye ni mfanyabiashara na kwamba ni kweli wao waliingia mkataba na Bakwata wa kubadilishana ardhi ekari nne kwa ekari 40.

Kesi itakuja kwa ajili ya kutajwa Desemba 18, mwaka huu na itaendelea kusikilizwa Desemba 31, mwaka huu.

Ponda, Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Mukadam Abdallah Swalehe (45) na wafuasi wao wanakabiliwa na mashtaka matano yakiwemo ya uchochezi, kula njama na wizi wa mali yenye thamani ya Sh59.6 milioni.

Katika shtaka la uchochezi, Shekhe Ponda na Shekhe Mukadam wanadaiwa kuwa kati ya Oktoba 12 na 16, mwaka huu katika eneo la Chang'ombe Malkazi,akiwa kama Kiongozi wa Baraza na Jumuiya ya Kiislamu Tanzania aliwashawishi wafuasi wake kutenda makosa hayo

"Kutokana na mapendekezo hayo, tuliafikiana kijengwe Chang'ombe lakini ikaonekana kuwa Chuo Kikuu cha Kiislamu kinahitaji sehemu kubwa na pale kuna Ekari 4 hapatoshi," alisema shahidi huyo wa pili wa upande wa mashtaka.

Hivyo walimtaka Katibu Mkuu wa Baraza la Maulamaa na timu yake wafanye mchakato wa kutafuta eneo maalumu kubwa ambalo wataweza kujenga chuo hicho Kikuu cha Kiislamu na kwamba baada ya siku nne au tano walipigiwa simu na kuwa wanahitajiwa Makao Makuu (Bakwata).

Shahidi huyo alidai kuwa walipofika waliambiwa kuwa kuna kikao cha dharura na kupatiwa taarifa na Katibu Mkuu wao juu ya mchakato huo wa kutafuta eneo kuwa kampuni ya Agritanza Ltd ilijitokeza na kutaka tuwape zile ekari nne na wao watupe ekari 40 huko Kisarawe Pwani.

"Sisi tuliona ekari 40 kwa ekari 4 ni kama ardhi na mbingu na Mungu alisikia kilio chetu akawaleta hao na tukaona kabla ya mazungumzo twende tukaone, tulipofika Manshalaa eneo lilikuwa sehemu nzuri, linapendeza, linavutia na mimi nilikuwa wa kwanza kuwashawishi wenzangu tukubaliane na mabadilishano na mchakato ukafanyika," aliongeza shahidi huyo mahakamani hapo.

Hivyo Baraza la Maulamaa liliridhia kutoa maamuzi kwa Baraza la Wadhamini kufanyika kwa mchakato na makubaliano wa maeneo hayo.

[/QUOTE
sasa nimeamini kweli sheikh ponda anapigania haki ya waislamu yaani wewe ukapewe heka 40 kisarawe uachie heka 4 changombe halafu unajisifu mahali pazuri wakati hapo kwenye heka 4 umepashindwa kupaendeleza ni sawaswa namtu anapiga jabali kichwa halafu analisikitikia jabali badala ya kusikitikia kichwa chake
 
Leo ni Ijumaa ilikuwa ni siku ya kusimamisha huduma zote katikati ya jiji la Dar kwa hofu ya upotevu wa mali zinazoibwa na vibaka chini ya mwamvuli wa Ponda. Lakini kweli, Ponda yuko lupango huku nje hasa Dar es salaam kumetulia. Big up DPP.
 
KITAIFA
Na Tausi Ally

Posted Alhamisi,Decemba13 2012 saa 22:12 PM

KWA UFUPI

Baada ya kuambiwa hivyo, Habibu alidai kuwa hakuna hata mmoja anayefamfahamu katika utendaji wa kazi za Uislamu kama kiongozi kwenye baraza lakini akawatambua kimavazi kuwa ni waumini wa Kiislamu. "Ila kwa kuona, muungwana ishalaa inamuonyesha kuwa kuna baibui, kanzu na kofia (baraghashia) inaonekana kuna Waislamu na wasio Waislamu."

KADHI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habibu (49) amekana kumfahamu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Ponda Issa Ponda na wafuasi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Habibu alikana kumfahamu Ponda na wafuasi wake jana Mbele ya Hakimu Mkazi, Ritha Tarimo mara baada ya kutakiwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka awatazame kina Ponda na aelezee iwapo kuna mmoja aliwahi kuingia kwenye Baraza la Maulamaa wa Bakwata.

Baada ya kuambiwa hivyo, Habibu alidai kuwa hakuna hata mmoja anayefamfahamu katika utendaji wa kazi za Uislamu kama kiongozi kwenye baraza lakini akawatambua kimavazi kuwa ni waumini wa Kiislamu. "Ila kwa kuona, muungwana ishalaa inamuonyesha kuwa kuna baibui, kanzu na kofia (baraghashia) inaonekana kuna Waislamu na wasio Waislamu."

Akiendelea kutoa ushahidi wake, Kadhi huyo aliiambia mahakama ; "Nathibitisha kuwa Kampuni ya Agritanza Ltd inamiliki lile eneo kwa Uhalali na kwamba haikupita uchochoroni ikaruka ukuta ikaingia ndani ya hilo eneo, ilifuata utaratibu na kupokea hati zote na haki yake," alisema Habibu.

Alifafanua kuwa Baraza la Maulamaa ni chombo kinachotoa uamuzi ya mwisho na kutoa miongozo mbalimbali kwa Waislamu na kwamba Bakwata inawakilisha Waislamu wote Tanzania.

Alidai kuwa Baraza hilo la Maulamaa linaundwa na wajumbe 10 kutoka mikoa mbalimbali na kwamba mjumbe huteuliwa kutokana na kuwa na kiwango cha elimu kilichopevuka na uadilifu.

"Baraza hili linamiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika na sisi ndiyo tunachukua uhimizwaji wa kuulizwa na kudodoswa kila kilichopo ndani ya Bakwata kwa kuwa ni lazima tuhusishwe hususan katika masuala ya elimu," alisema Habibu.

Kwa mujibu wa maelezo ya Katiba, vikao hufanyika mara mbili kwa mwaka chini ya Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa pamoja na vikao vya dharura. " Januari 3, 2011, tulifanya kikao cha kawaida ambacho kilikuwa na agenda tatu ikiwemo ya umuhimu wa kujenga chuo Kikuu cha Kiislamu ambapo wajumbe walipendekeza kijengwe katika maeneo ya Dodoma, Tanga ama Chang'ombe."

Baada ya kutolewa kwa ushahidi huo, mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Agritanza Ltd, Seleman Mohamed (48) akitoa ushahidi wake aliiambia mahakama hiyo kuwa yeye ni mfanyabiashara na kwamba ni kweli wao waliingia mkataba na Bakwata wa kubadilishana ardhi ekari nne kwa ekari 40.

Kesi itakuja kwa ajili ya kutajwa Desemba 18, mwaka huu na itaendelea kusikilizwa Desemba 31, mwaka huu.

Ponda, Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Mukadam Abdallah Swalehe (45) na wafuasi wao wanakabiliwa na mashtaka matano yakiwemo ya uchochezi, kula njama na wizi wa mali yenye thamani ya Sh59.6 milioni.

Katika shtaka la uchochezi, Shekhe Ponda na Shekhe Mukadam wanadaiwa kuwa kati ya Oktoba 12 na 16, mwaka huu katika eneo la Chang'ombe Malkazi,akiwa kama Kiongozi wa Baraza na Jumuiya ya Kiislamu Tanzania aliwashawishi wafuasi wake kutenda makosa hayo

"Kutokana na mapendekezo hayo, tuliafikiana kijengwe Chang'ombe lakini ikaonekana kuwa Chuo Kikuu cha Kiislamu kinahitaji sehemu kubwa na pale kuna Ekari 4 hapatoshi," alisema shahidi huyo wa pili wa upande wa mashtaka.

Hivyo walimtaka Katibu Mkuu wa Baraza la Maulamaa na timu yake wafanye mchakato wa kutafuta eneo maalumu kubwa ambalo wataweza kujenga chuo hicho Kikuu cha Kiislamu na kwamba baada ya siku nne au tano walipigiwa simu na kuwa wanahitajiwa Makao Makuu (Bakwata).

Shahidi huyo alidai kuwa walipofika waliambiwa kuwa kuna kikao cha dharura na kupatiwa taarifa na Katibu Mkuu wao juu ya mchakato huo wa kutafuta eneo kuwa kampuni ya Agritanza Ltd ilijitokeza na kutaka tuwape zile ekari nne na wao watupe ekari 40 huko Kisarawe Pwani.

"Sisi tuliona ekari 40 kwa ekari 4 ni kama ardhi na mbingu na Mungu alisikia kilio chetu akawaleta hao na tukaona kabla ya mazungumzo twende tukaone, tulipofika Manshalaa eneo lilikuwa sehemu nzuri, linapendeza, linavutia na mimi nilikuwa wa kwanza kuwashawishi wenzangu tukubaliane na mabadilishano na mchakato ukafanyika," aliongeza shahidi huyo mahakamani hapo.

Hivyo Baraza la Maulamaa liliridhia kutoa maamuzi kwa Baraza la Wadhamini kufanyika kwa mchakato na makubaliano wa maeneo hayo.

Hapa cha maana sio eneo kuwa mmetoa hekari 4 na mmepewa 40, cha msingi hapa ni thamani ya eneo husika. Chang'ombe ni mjini sana thamani yake ya hizo hekari 4 haiwezi lingana na hizo hekari 40 za porini kisarawe. Mie nina kiwanja kisarawe, hekari moja ni TZS 600,000/=, kwa hizo hekari 40 ni jumla ya TZS 24m. Kwa hizo hekari 4 za Chang'ombe ni zaidi ya TZS 200m, sasa wapi na wapi. Kwa ushahidi wa huyu Sheikh ni wazi kabisa wakina Ponda kumbe walikuwa na haki yakukomesha ufisadi huu na dhulma hii kwa mikono yao.
 
sasa nimeamini kweli sheikh ponda anapigania haki ya waislamu yaani wewe ukapewe heka 40 kisarawe uachie heka 4 changombe halafu unajisifu mahali pazuri wakati hapo kwenye heka 4 umepashindwa kupaendeleza ni sawaswa namtu anapiga jabali kichwa halafu analisikitikia jabali badala ya kusikitikia kichwa chake........

Mkuu zile nne labda tu kwa sababu katikati ya jiji. Lakin unapoongelea CHUO KIKUU hakika Nne hazitoshi kabisa.

Chuo kikuu kinahitaji miundombinu mingi sana, ilikukidhi mahitajio ya kiwango cha kuitwa chuo kikuu. Walau hizo arobain japo ningesema ziwe 100 au zaid.
 
Hapa cha maana sio eneo kuwa mmetoa hekari 4 na mmepewa 40, cha msingi hapa ni thamani ya eneo husika. Chang'ombe ni mjini sana thamani yake ya hizo hekari 4 haiwezi lingana na hizo hekari 40 za porini kisarawe. Mie nina kiwanja kisarawe, hekari moja ni TZS 600,000/=, kwa hizo hekari 40 ni jumla ya TZS 24m. Kwa hizo hekari 4 za Chang'ombe ni zaidi ya TZS 200m, sasa wapi na wapi. Kwa ushahidi wa huyu Sheikh ni wazi kabisa wakina Ponda kumbe walikuwa na haki yakukomesha ufisadi huu na dhulma hii kwa mikono yao.

Ukweli thamani ya ekari 4 za mjini si sawa na hata ekari 400 za Kigoma hiyo ipo wazi hata kwa asiyeenda shule ila yaelekea Ponda aliiona hiyo wakati wenzie wameshakula chao na hawana jinsi zaidi ya kutetea ufisadi wao, Hapo Shekhe Ponda hana jinsi nyingine zaidi ya kutumia nguvu ya umma tu, haiwezekani ukasema kuwa ekari 4 ni ndogo kujenga chuo mjini kwani hiyo space unaweza weka maghorofa ya kumwaga hata vyuo viwili tofauti,

Waislam wachache wana tabia ya kupenda madaraka ili wapate vya bure wakisahau kujiimarisha kwa umoja wao, angalia nchi za kiislam eg Syria, Libya, etc zinavyobomolewa na Marekani kwa kutumia waislam hao hao ktk nchi zao wenyewe..shame on you!
 
Mkuu zile nne labda tu kwa sababu katikati ya jiji. lakin unapoongelea CHUO KIKUU hakika Nne hazitoshi kabisa.

Chuo kikuu kinahitaji miundombinu mingi sana, ilikukidhi mahitajio ya kiwango cha kuitwa chuo kikuu. walau hizo arobain japo ningesema ziwe 100 au zaid.
Mkuu hawajamaa wa bakwata ni wababaishaji wanaradio inaitwa radio Quran wameshindwa hata kwenda nje ya Dar halafu leo hii uniambie wajenge chuo kikuu huo ni uongo kuna genji watu wamekula hapo taasisi ambayo inaweza mambo hayo ni ISLAMIC FOUNDATION
 
Sawa mkuu. Kama wamekula genji, wanapaswa kuadhibiwa kulingana na taratibu zenu, hapo mimi sina ubishi maana sipo kutetea kundi lolote.

mchango wangu ulikuwa kama kweli nia ipo na uwezo upo basi chuo kikuu cha faa kwenye eneo la kujitanua na akiba kusalia

Elimu hutafutwa popote inapopatikana, hivyo haijalishi ni wapi kama chuo ni kizuri na kinatoa elimu bora basi watakuja kutoka pande zote za dunia bila kujali kipo sehemu gani.
 
Alinyakwa kisayansi sheikh ponda by suleiman kova
 
alaa hivi kumbe tuna kadhi wakuu nchini, i didn't know this
 
Back
Top Bottom