Kadhi mkuu amkana Ponda

Kadhi mkuu amkana Ponda

kwa hiyo unazarau uamuzi wa baraza la maulamaa ambao ni wawakilishi halali wa waislamu?
Mmoja wa wanazuoni wakubwa katika Uislamu Ibn Mubarak anasema:
"Ukimuona mwanazuoni katika geti (mlango) wa kiongozi/mtawala (dhalimu) basi juwa kuwa mwanazuoni huyo ni mwizi"
*mwizi anayekuibia dini yako, mali zako n.k

Mtume SAW anasema "Kuna ambacho ninakiogopea zaidi Ummah wangu kuliko Dajjaal (anti Christ) alipoulizwa ni nini akajibu "Maulamaa/wanazuoni waovu wapotevu" (Musnad Imaam Ahmad namba 21:334)
 
Kwa hiyo ni wakati muafaka wa kuwaamini shehe Mukudamu Abdallah Swalehe na shehe Ponda Issa Ponda?
 
Sina sababu yoyote ya kutowaamini! bali hawa wanawakilisha matakwa ya Waislamu wa Tanzania.
 
Kama ni hivyo mkuu basi hakuna tofauti na baraza la maulamaa kwa sababu nao waliaminiwa na waislamu kama wewe na isitoshe wote ni binadamu kama wewe!!
 
Mkuu zile nne labda tu kwa sababu katikati ya jiji. Lakin unapoongelea CHUO KIKUU hakika Nne hazitoshi kabisa.

Chuo kikuu kinahitaji miundombinu mingi sana, ilikukidhi mahitajio ya kiwango cha kuitwa chuo kikuu. Walau hizo arobain japo ningesema ziwe 100 au zaid.
Ni sawa lakini lakini ni bora wangeuza ili kupata hard cash rather than going barter way,thamani ya ile plot wangeweweza kupata eneo kubwa na mtaji wa kuanzia ujenzi!bakwata wamekwiba bhana!
 
Sijui kama umeielewa Hadith niliyoinukuu kutoka kwenye Musnad wa Imam Ahmad!
Au kauli ya Ibn Mubarak.
 
Ni sawa lakini lakini ni bora wangeuza ili kupata hard cash rather than going barter way,thamani ya ile plot wangeweweza kupata eneo kubwa na mtaji wa kuanzia ujenzi!bakwata wamekwiba bhana!

Mkuu kama ni wezi mimi sina utetezi kwa wanaoiba mali ya jamii yoyote. Wanapaswa kuadhibiwa kwa mujibu na kwa matakwa ya jamii husika.

Mimi hoja yangu ni kwamba ili kuwa na CHUO kikuu kizuri, eneo kubwa linahitajika kwa matumizi ya sasa na akiba ya kujitanua hapo baadae.
 
Jamani lazima tukiri kuwa tangia Ponda na yule mwenzake wa Zanzibar wawekwe lupango, nchi zote mbili zimetulia na amani imerejea 24/7 hata Ijumaa!. Hizo kesi dhidi yao zinazosikilizwa sasa ni zile ambazo angalao DPP wanaushahidi wa kutosha kuendesha mashitaka. Hizi ni kesi ndogondogo tu ambazo zinadhaminika. Hawa wana kesi nzito zaidi ya terrorism - ugaidi ambayo bado ushahidi wa kutosheleza kuendesha mashitaka haujakamilika. Kesi hizi za kina Al Shabah si za kukurupuka kuzipeleka kwa Mahakimu wetu. Ni za kimataifa, hata upelelezi wake ni wa kimataifa lakini serikali inauwezo wa kuwadhibiti hata kama si kisheria ili mradi amani ipatikane. Waendelee kukaa huko mahabusu hadi jamii itakapowasahau ndipo waachiwe kwa masharti.
 
Kwa hiyo ni wakati muafaka wa kuwaamini shehe Mukudamu Abdallah Swalehe na shehe Ponda Issa Ponda?

kuna mmoja anaitwa shehe kundecha alichangisha pesa za kwenda ndanda secondary kuzuia watoto wa ki i slam kufanya necta..pesa za coaster 5 zilikodisha coaster 3,chenji iliyobaki haijulikani hadi leo ilipo.
 
Teh teh teh kwa hiyo shehe kundecha ni tapeli wa kutupwa,wanatumia dini ili kujipatia maslahi yao binafsi!!
 
kuna mmoja anaitwa shehe kundecha alichangisha pesa za kwenda ndanda secondary kuzuia watoto wa ki i slam kufanya necta..pesa za coaster 5 zilikodisha coaster 3,chenji iliyobaki haijulikani hadi leo ilipo.

LOL,,

NIMECHEKA SANA
:laugh:
 
Hivi jaman ikitokea Mzazi akafa ilhali ameacha mali za kutosha na watoto kumi ikatokea wawili wakajinufaisha wao na kuwadhulum wengine 8 kipi bora kwa hawa waliodhulumiwa 1. Waanzishe ugomvi na hao waliowadhulum 2. Au waungane wao na kuanzisha miradi yao wenyewe Nadhani ifike hatua Masheikh ze2 waangalie mambo kwa Jicho la 3 Mtaji ni Waumini wanao kwa nini wasifanye? Mbona kila leo Makanisa yanaota na yanaendelea? Hebu thubutuni acheni vya kutafuniwa
 
Mkuu zile nne labda tu kwa sababu katikati ya jiji. Lakin unapoongelea CHUO KIKUU hakika Nne hazitoshi kabisa.

Chuo kikuu kinahitaji miundombinu mingi sana, ilikukidhi mahitajio ya kiwango cha kuitwa chuo kikuu. Walau hizo arobain japo ningesema ziwe 100 au zaid.

Ni kweli eneo kubwa linahitajika ila thamani ya kiwanja katika soko si kama walivyobadilishana. Hizo ekari nne zingeweza kupata ekari nyingi zaidi na pia wangeweza kupata na hela ya kuanzia ujenzi.
 
Sasa kila MTU anamkana SHEIKH PONDA? Mnadhani atabakia JELA MILELE? SUBIRINI atoke na Mnaomkana kila MTU mtakiona cha MOTO...
Mkuu yule jamaa ni bingwa wa mafarakano, sijui Kuran anyoisoma yeye mwasisi wake ni nani!
 
Inaonyesha HIVYO... Sasa kweli ataweza KUSAFIRI kwenda NJE ya NCHI? Sababu JINA lake LABDA limeshawekwa kwenye INTERNATIONAL BLACK BOOK of TRAVELLERS
 
Watu wa mafarakano wa aina ya Ponda mwisho wao si mzuri.
Amuulize Sheikh Mwaipopo aliishia wapi baada ya valangati zito, aliishia kuumbuka na hatimae akaudedi.
Huyu akitoka selo lazima TB immalize.
 
Back
Top Bottom