Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
- Thread starter
- #41
Tatizo la kujiuliza ni kuwa kwanini Raisi anapokuwa ni Muislamu ndiyo kasheshe na purukushani za haki za waislamu ndipo huibuka......tunazo taarifa ya kuwa JK hukutana na viongozi wa Kiislamu na huwahamasisha hapo Ikulu wapigie debe Mahakama za Kadhi ili kumpa yeye nguvu ya kuzisimika kwetu isivyo halali na kinyume na sheria.......kwenye Kampeni hakuzungumzia huu upuuzi lakini sasa ana mipango ya kuutekeleza kimyakimya.....................Muulize buchanan aliyetaka kuwahusisha waislamu na JK eti atawasaidia kuwapa mahakama ya kadhi you are dead wrong kila kitu kitaenda kwa mpangilio na sio kwasababu fulani yuko ikulu. Ingelikuwa Tanzania nchi ya kikristo hilo ni swala jengine but kama tanzania yetu sote wait and see
Kila mara JK hudai yeye siyo mdini lakini anawasuta wengine kuwa ni wadini........ukweli ni kuwa katika historia yetu hatujawahi kuwa na Raisi mdini kama yeye....................Mkapa na ufisadi wake ni nafuu kuliko huku JK anakotaka kutupeleka.....maafa na umwagaji damu.........................May God intervenes on JK's nonsense.............................