Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
nyie mambo ya mahakama ya kadhi hayawahusu kaa kimya! mahakama ya kadhi inawahusu waislam tuu nyie hofu yeno ninini?. ila mkienda kuwafanyia uhalifu waislam hapo itamshughulikia yeote, kwani mtu akitoka tanzania akaenda kuiba zimbabwe akishikwa kule kesi itafanyika zimbabwe au tanzania?
Tatizo ni pale PM Pinda anapoanza kuwa Sheikh wakati masheikh waliosomea wapo tele!