KAddafi anakula dhambi zake za anga ya Lockaby | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAddafi anakula dhambi zake za anga ya Lockaby

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Mar 9, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  AL magrahi alilipua ndege, ikauwa watu. PAN Am Flight 103. December 21, 1988. wengi wao mayahudi. muuwaji alikuwa mlibya. waskoch wakamuachia kwa kisingizio cha compassionate grounds. ati alikuwa anaumwa na angekufa ndani ya miezi 3. hajafa mpaka leo.

  iko hivi:
  waskoch walimuachia mmuuwaji ili kampuni lao la BP lipate dili chee za kuchimba na kunyonya machuta kutoka libya ya mwamar Kadafi. wakati huo mayahudi walikuwa wanasoma mchezo tu. muuwaji akawachiwa. akawa huru. mayahudi wakasubiri miezi 3 ili muuwaji afe. ajafa mpaka leo.

  walichokifanya mayahudi:
  kwanza walianza na BP. wakalipua mambomba ya mafuta gofu ya mexico. BP wakahaha kuziba bila mafanikio. bahari ikachafuka, wanyama wa bahari wakaangamia. bichi zikageuka madimbwi ya mafuta. watu wakapigwa chini kazi. BP walitia huruma. wakashika adabu. wakajuta kuzaliwa. Gordon Brown akapotezwa kwenye ramani ya siasa za uingereza. labor wakaondolewa madarakani. yaani ni aibu.

  BP mufilisi:
  haina ubishi kwani hata hapa bongo tumeona namna BP ilivyopotea kwenye ramani za biashara ya majuta. BP zilizobaki sasa ni feki na zinauza majuta yaliyochakachuliwa.

  Kaddafi:
  BP wamejuta kuifahamu JERUSALEM. wanajuuuuuuuta!! Sasa zamu ya mtu aliyefanikisha mpango wa kuachiwa huru kwa muuwaji. Kaddafi. Anasingizia Al Kaida. Lakini ukweli anapambana na Mossad na LAZIMA atashindwa. Lazima ang'oke kwa garama yoyote. Atafute pa kutokea tu kwani hata auwe raia wote wa libya, hatima ya yote ni kuachia ngazi. Ataondoka yeye muuwaji atabaki na atarudishwa jela kama kawa.

  Onyo:
  Ni dhambi na laana kuu kufanya njama yoyote kuidhuru Israel.
   
Loading...