KADCO kulikoni

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,224
79,514
Wana forum, ningependa kujua nani muhusika wa hii kampuni (KADCO) na ni ufisadi gani umefanyika hapa maana hawa jamaa hawajatimiza malengo je nani aliwapa huu mkataba? Meanwhile naipongeza serikali kwa uamuzi iliochukua KIA ina potentials za kushindana na Jomo Kenyatta kama watakuwa serious na kuji-position vizuri haswa ukizingatia booming tourism mining, floor industries na shughuli nyingi tu zinazofanyika haswa ndani ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara

Kilimanjaro Airports Development Company

KADCO shown the door

By Wolfgang H. Thome, eTN | Dec 18, 2009
Reports from Arusha gave confirmation over the last weekend that the government has apparently terminated the management contract of the Kilimanjaro Airports Development Company, in short KADCO, as a result of non-performance and missing agreed targets.
KADCO initially had a contract for 25 years, but this was of late under scrutiny over a range of issues, while air operators regularly complained that the user charges were high in comparison with other similar airports in the region, hampering the wider development of air transport.
It is not clear if the KADCO shareholders will go to court to seek an injunction and sue for wrongful termination of contract, as one source close to the company has already intimated.
http://www.eturbonews.com/13352/kadco-shown-door
 
Mzungu aliyekuwepo wakati wa ununuzi wa kampuni hiyo hajaonekana tena nchini hapa, na ali'pave tu njia ya mafisadi wa hapa kuendesha kiwanja hicho kwa kujitwalia mahela kutokana na rasilimali za watanzania!
Naambiwa mkataba alioingia na serikali ulikuwa unamfanya ailipe serikali milioni 1 kwa mwaka,(is this my ass?).....

Hii mikataba ya siri hii inatumaliza jamani, shitukeni!

Niipongeze sana serikali kwa hatua nzuri ya kipekee ya hatimaye kuutwaa uwanja huu uliojengwa kwa fedha za wananchi.

Kiwanja hiki kilijengwa na wasomi wanataaluma wazuri sana wa wakati wake, maana waliweza kukiwekea miundombinu ya ukakika sana.
Runway yake ni 5km, ambapo ni viwanja vichache kabisa Eastern and Central Africa vina urefu huu!.Pia 'hangar' yake ni kubwa sana in comparison to most southern African Countries.

Lakini kubwa kuliko yote, wajenzi walipiga hesabu nzuri sana ya growth-rate ya population, maana hadi leo(over 30yrs) bado kipo mbali sana na makazi ya watu.

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Back
Top Bottom