Kadco kugoma ijumaa hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kadco kugoma ijumaa hii

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ndezi, Aug 1, 2011.

 1. n

  ndezi Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari Zilizopatikana toka Kwa kachero wa JF ni kuwa wafanyakazi wa KADCO na KIA kwa Ujumla watagoma kuanzia Ijumaa Hii Kushinikiza Uongozi Kushughulikia kwa haraka malalamiko yao ya muda mrefu ya Mishahara, Posho na Maslahi mbalimbali ambayo uongozi umekuwa ukipuuza kuyafanyia kazi kwa kipindi kirefu sasa.

  Wana JF mwenye Data zaidi Azirushe!!
   
 2. n

  ndezi Member

  #2

 3. n

  ndezi Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mbaya ni kuwa sasa hivi ni high season kwenye swala zima la utalii. kwahiyo ita-affect kwa kiwango kikubwa mapato ya serikali na wafanya biashara ya utalii
   
Loading...