Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Jamaa#1;John mjinga sana,kaniudhi mno!. Jamaa#2;Vp,kulikoni tena?.>>>>>>> Jamaa#1;Aargh,si ameiba namba ya simu ya demu wangu kutoka kwenye simu yangu!.>>>>>> Jamaa#2;Mnh,nini kilichoendelea baada ya hapo?.>>>> Jamaa#1;Anamtumia demu wangu message za mapenzi ila hajui kama ile ni namba ya dada yake!