KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Yap, i said it !
Mnyika siasa zake kama Mrema, (yupo kwenye siasa kama geresha)
Slaa za kwake ni za kikabila kabila, !
Mbowe (huyu mchafu na uchafu wake hata sijui niuanzie wapi)
Haya wee mwanawane, kaeni mkao wa kula..More info to come !
...Yap, you said it KadaMpinzani... and you said it with similar persuasion as in this overdue thread:
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=6571&highlight=mafisadi
Yap, i said it !
Mnyika siasa zake kama Mrema, (yupo kwenye siasa kama geresha)
Slaa za kwake ni za kikabila kabila, !
Mbowe (huyu mchafu na uchafu wake hata sijui niuanzie wapi)
Haya wee mwanawane, kaeni mkao wa kula..More info to come !
...Yap, you said it KadaMpinzani... and you said it with similar persuasion as in this overdue thread:
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=6571&highlight=mafisadi
Haya Mkuu tuko mkao wa kula,lete hizo infos zenye facts lakini,inawezekana kuna mengi zaidi ambayo hatuyajui.
Yap, i said it !
Mnyika siasa zake kama Mrema, (yupo kwenye siasa kama geresha)
Slaa za kwake ni za kikabila kabila, !
Mbowe (huyu mchafu na uchafu wake hata sijui niuanzie wapi)
Haya wee mwanawane, kaeni mkao wa kula..More info to come !
Yap, i said it !
Mnyika siasa zake kama Mrema, (yupo kwenye siasa kama geresha)
Slaa za kwake ni za kikabila kabila, !
Mbowe (huyu mchafu na uchafu wake hata sijui niuanzie wapi)
Haya wee mwanawane, kaeni mkao wa kula..More info to come !
mwanzoni ulikuwa unaleta hoja mbadala ambazo zilikuwa zinasababisha tufikiri, na ulikuwa unawasha moto wa fikara hapa. Baada ya kupotea kwa muda uliporudi umerudi ukiwa umechagua upande; bahati mbaya umechagua upande si kwa sababu ya uzuri wa hoja zao na matendo yao bali umechagua upande kama vile bendera inavyofuata upepo ili na wewe uonekane unapepea.
Well, kila mtu hana budi kufanya uchaguzi, na wewe umefanya wa kwako. Mwanzoni nilikuwa nafurahia kufungua kila unachosema, but the past week, siyo tu umenikatisha tamaa, lakini umenifanya niamini kuwa hoja zinaposhindwa, wao huleta vioja!.
Good luck!
Mtarajiwa nadhani umechemsha kidogo hapo kwenye nukuhu.
Naona sasa unaingia ushabiki hapa usiokuwa na kichwa wala miguu. Slaa kama siyo kuuvalia njuga ufisadi mkubwa uliofanywa BoT kweli tungejua uozo uliojaa pale uliosababisha Balalli kuikimbia nchi na Viongozi wengine kutotaka arudi Tanzania kwa wasiwasi ushahidi atakaoutoa utawahusisha katika kashfa ya BoT? Je, ufisadi uliofanywa BoT, Richmond na kwingineko ambao Slaa amekuwa mstari wa mbele kuupigia kelele unawagusa wachaga tu na siyo Watanzania wengine!?
Je, kama siyo Slaa mawaziri waliokuwa wanaohusika kwa namna moja au nyingine na kashfa ya BoT akina Mramma , Meghji na wengine si wangekuwa bado wanapeta tu na nyadhifa zao?
Slaa alipoongea aliongea kwa niaba ya Watanzania wote, naomba nifafanuli uozo uliojaa pale BoT unawagusa wachaga tu na sio Watanzania wote wa kila kona ya nchi yetu?
Wana JF naona kuna njama kubwa sana za kuvuruga majadiliano mazito yanayoendelea hapa kuhusiana na ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi mbali mbali wa siri kali, kama tusipokuwa makini basi hii JF itavurugwa ili tuache majadiliano yenye umuhimu mkubwa kuhusiana na ufisadi ambayo yanaingamiza nchi yetu.[/color]
Asante kwa mchango wako !(HII NI REGARDS TO MAANDISHI YA BLUE)
Lakini nafikiri theory kama zako za kusema kwamba viongozi waje ili kutibua michango na mwenendo wa threads IS REALLY RIDICULOUS ! Na nafikiri ulichosema ni signal kwa baadhi ya wananchi kutokuwa na imani na viongozi wao ! Kwa nini nasema hivyo, ina maana member wa kawaida kama KadaMpinzani binafsi hawezi kuja kuibua hoja kama hiyo niliyoibua ili kuleta mitazamo tofauti ? Au ndio unajaribu kusema mimi ni kiongozi, au nimetumwa na kiongozi ? Kwa kweli huo mtazamo wako ni wa kiutumwa na sidhani kama unapaswa kuigwa ! Lakini sitokushangaa maana nafikiri mawazo haya yako huanza chini hadi hufikia kwenye system, because last time i checked hata mtoto wa darasa la saba alipomuuliza EL swali katika hotuba yake na wananchi jamaa wa usalama walimfuatilia usiku kucha na kudai kwamba the boy was planted, THAT TOO TO ME SEEMED WAAYYYYYYYY BEYOND RIDICULOUS ! Anyway the point am trying to make here, in kwamba haiitaji mtu kuwa kiongozi kuja kuvuruga mada (kwa mtazamo wako umesema watu wanakuja kuvuruga mada even though sijui ni vigezo gani haswa ulivyotumia kusema ulichosema) but any ordinary person can do it, YES EVEN ORDINARY PEOPLE CAN DO IT ! So, lets have faith back to ourselves and attack me for me, na sio kuvuruga viongozi wetu wengi wao ambao usiku na mchana huangaikia taifa huku wengine wachache wakifilisi taifa !
Hata ordinary people ni lazima wafikirie wanapotoa kauli, wasiongee tu kama kasuku. Slaa kusimama kidete hadi kuanika hadharani uozo uliojaa BoT ni ushujaa, nasema ni ushujaa kwa sababu hata Bungeni alitishiwa na Sitta kwamba angemfungulia mashtaka kwa kuzusha uongo dhidi ya tuhuma za BoT na Slaa alipata vitisho vya kutishia uhai wake, lakini hakuogopa akaendelea kupiga kelele hadi Watanzania tukagundua uozo uliojaa pale BoT tena katika muda wa mwaka mmoja tu wamekupua shilingi 133 bilioni, fikiria kama Govt ingeamua kufichua uozo uliojaa pale kwa kuruhusu ukaguzi ufanywe kuanzia mwaka 2000 mpaka 2006 badala ya 2005/2006. Watanzania si tungelia machozi kwa jinsi ufisadi ambao ungegundulika umefanyika katika kipindi hicho.
Unaposema kwamba yeye uongozi wake ni wa kikabila hakuna ushahidi wowote wa kuthibisha hilo. Nimekuuliza je, kama Slaa uongozi wake ni wa kikabila uozo aliouficha pale BoT unawagusa wachaga pekee yao? lakini hukujibu, je aliposimama kidete dhidi ya mafisadi wa Richmond alikuwa anatetea maslahi ya wachaga pekee yao? unaposema Slaa uongozi wake ni kikabila unamaanisha nini hasa? Tufafanulie ili tukuelewe.
if you don't have anything important to say it is better to keep quiet rather than saying anything that you don't have any evidence to support your arguments. Slaa machoni mwa Watanzania wengi anaonekana ni shujaa wa kutetea maslahi ya Watanzania wote bila kujali kabila zao, kama una ushahidi tofauti na wengi tunavyomuona Dk Slaa basi ulete ushahidi huo hapa ukumbini badala ya kuandika porojo.
wakati hata sijawasilisha ninachotaka kuandika LAKINI NASHANGAA PUU CONCLUSION ZIMEFIKA MEZANI WAKATI HATA KUKU HAJACHUNGUZWA.!
angalia maneno mekundu ! Hadi hivi sasa sijaelewa wewe na mwanakijiji mmetumia vigezo gani kujudge outcome ya ninachotaka kuandika wakati hata sijawasilisha ninachotaka kuandika LAKINI NASHANGAA PUU CONCLUSION ZIMEFIKA MEZANI WAKATI HATA KUKU HAJACHUNGUZWA.! mwake humu kweli ? kama maneno yako matatu ya katika hayo maneno mekundu yanavyosema, ungesubiri nifafanue ili muelewe na haikuwa "safi" kwako wewe kufikia uamuzi uliosema wakati hata hujaelewa nini nilichotaka kusema !
are we speculating kwamba Dr. Slaa ni malaika ?? Sasa subiri niende kwenye mafaili !