George Kahangwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2007
- 547
- 147
angalia maneno mekundu ! Hadi hivi sasa sijaelewa wewe na mwanakijiji mmetumia vigezo gani kujudge outcome ya ninachotaka kuandika wakati hata sijawasilisha ninachotaka kuandika LAKINI NASHANGAA PUU CONCLUSION ZIMEFIKA MEZANI WAKATI HATA KUKU HAJACHUNGUZWA.! mwake humu kweli ? kama maneno yako matatu ya katika hayo maneno mekundu yanavyosema, ungesubiri nifafanue ili muelewe na haikuwa "safi" kwako wewe kufikia uamuzi uliosema wakati hata hujaelewa nini nilichotaka kusema !
kada,
Kama unacho cha kusema kuhusu watu hao, kiseme upesi ili hicho ndicho kijadilike kulingana na ukweli au uongo wake. ulipodokeza tu ulitegemea watu wasichangie wakati umegusa majina yanayoheshimika? Usilaumu wanaotoa mahitimisho yao tayari, maana hata wewe umeanza kwa hitimisho katika dokezo lako.