Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Yana mwisho! Usalama wa taifa/ccm ni kikwazo kwa ustawi wa taifa letu! Siku watu hao wakiongoka na kujitambuwa tutajenga Tanzania yenye demokrasia ya kweli. Usalama wa ccm/taifa ni vinara wa kuratibu na kutekeleza, mauaji, wizi/ufisadi na uwozo mwingine mwinginilipoambiwa mkapa anakwenda huko nilijua tu lazima roho za watu wasio na hatia ziangamie.
Huyo aliyekubali kununuliwa na cdm (cheap amount) kwenda mpaka igunga na kuuliwa ili mpate public sympathy..
Ili mpate madaraka for you ill-intentions anahitaji elimu na kuondolewa upumbavu wake...
namsikitia zaidi kwakuwa hajui yeye ni muislam ni target group kwa cdm (kama walivyomfanya kwa hijab) Vijana wanatumika vibaya
Sijaelewa ngoja nisubirisubiri kidogo, maana sijasikia kuwa CHADEMA imeripori habari kwamba wakala wake amepotea. Nani kwa nini atambulike kwa hiyo title ya wakala badala ya raia wa Igunga pana kitu hapo.
Binafsi naomba ukimya unitawale, until a research is complete and the responsible speakers give a suggestion on what to do...!
View attachment 38931
View attachment 38932
View attachment 38933
View attachment 38934
Kuna picha ingine inayomwonesha marehemu kwa mbele. Tunawasiliana na familia kama wataruhusu tuiweke.
Mungu amlaze kamanda wetu pema peponi. AMINA.
Hiyu ni kijana wa pili Muislamu kuuaua na CCM kwa ushirikiano na BAKWATA kwa sababu tu ya upenzi wao kwa CHADEMA. Kijana Muislamu wa kwanza kutwangwa risasi kama mnyama aliuliwa Arusha kwa sababu za kisiasa.
Sheikh Issa Ponda, hivi kweli hakuna taasisi nyingine yoyote huru ya kuweza kuwaunganisha na kuwatetea Waislamu wote nchini bila kujali itikadi zao za kisiasa kama ambavyo wafanyavyo hii taasisi ya CCM iitwayo BAKWATA????????
View attachment 38935
tutavumilia unyama kama huu mpaka lini??
Ni nani aliye juu ya sheria kufanya lolote atakalo eti kwa vile yeye ni dola???
Wiki iliyopita sheikh aliuwawa jijini Mwanza,jana mwengine Kigoma.Huyu tena Igunga. Na hata aliyepotea huko Igunga nae pia ni sheikh.Chadema kweli kimeamua kupambana na wanaokikosesha ushindi awe DC au kada wa chama.
Very sad.Kama ni kweli wengi watawajibishwa.
Bakwata haiongozwi na watu majuha.Hatuwezi kujiingiza kwenye jambo la dhana.Pale Igunga tulipolaani tuliwaona Chadema wakimkokota bi Fatma Kimaro kweupee.Hii kwamba maiti imekutwa nyuma ya gereza si lazima wauwaji wawe CCM.Uwezekano ni kuwa ni Chadema wakiwa na shutuma fulani kwa Mbwana kwamba kwa vile ni muislamu aliwasaidia CCM.kama hawa jamaa wakishindwa kulaani mauaji lakini walilaaani sana la hijabu basi ndiyo utajua maana ya MASABURI ni nini!
nakubaliana na swali lako. Wanao fahamu ushiriki na mchango wa marehem ktk uchaguzi wa octoba 2010 waweke bayana hapa, kuna kuna dot za kuunganisha.What is the history of the deceased on politics? Which role did he play in Oct. 2010 elections?