Dr, Kafumu ubunge wako umejaa damu za watu wasio na hatia, wewe na CCM lazima damu hii itawalilia mpaka siku ya kiama, ole wenu .
Binafsi naomba ukimya unitawale, until a research is complete and the responsible speakers give a suggestion on what to do...!
Mtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni
Hapana , hatutaitisha maandamano kwanza. Huyu kada anaitwa Mbwana Masoud kwa hiyo tunasubiri pia tamko kutoka BAKWATA.Mtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni
Wewe ni nani na utailinda TZ ipi?????????TZ yetu iko mahututi mikononi mwa manyangau wala si watawala ni wezi, sasa kama ni mzalendo unalinda TZ ipi????? Au umeajiriwa kama mamluki wa Libya unangoja kufurushwa na wananchi?????????Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.
Hapana , hatutaitisha maandamano kwanza. Huyu kada anaitwa Mbwana Masoud kwa hiyo tunasubiri pia tamko kutoka BAKWATA.
Kama yatakuwepo....karibu sana!Na sisi wapagani mtaturuhusu kuja kwenye maandamano yenu?
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida
Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..
Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap
kama hawa jamaa wakishindwa kulaani mauaji lakini walilaaani sana la hijabu basi ndiyo utajua maana ya MASABURI ni nini!Nilitarajia BAKWATA na wenyewe wangeshiriki katika kulaani mauaji haya ya kinyama na kuipa siku serikali iliyopewa dhamana ya kikatiba ya kulinda uhai wetu,ije na taarifa kamili juu ya kifo kinachotokea katika mazingira ya kisiasa.maana hijabu na mitandio hawachelewi kutolea tamko,vipi kuhusu damu ya mwanadamu.Eee Mungu tuokoe sisi waja wako ktk kadhia hii ya serikali inayosimamia mauaji ya wanao thubutu kuihoji serikali yao kwa sanduku la kura