Wazalendo wa kweli wauwaji wa kweli....Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.
The first thing in place Chadema as a team waende Igunga kuwashukuru wananchi kwa kuwapa kura za kutosha wafanye mkutano wa hadhara wakati huo huo na kuhani msiba.This is serious... CHADEMA naomba wafanye uchunguzi wa haraka, then watoe tamko la nini kifanyike mara moja... We are ready for anything...
Mwili wa marehemu tayari umeshazikwa kwani ulikuwa umeharibika vibaya sana kiasi kwamba haukuweza kusafiishwa kupelekwa Dar kwani inasemakana ulikuwa na majeraha na macho kutobolewa hivyo familia ya marehemu na viongozi wa Chadema walikubaliana kuuzika Igunga mjini...ni msiba ambao umegusa wana igunga kwa wingi sana............Hii ndiyo Tanzania tunae hubiliwa ina amani
Hii ni hali ya kusikitisha sana.............Nafikiri pale rais alipotangaza tupo katika "State of emergency"huenda ni moja kati ya vitu alivyovimaanisha.Mwili wa marehemu tayari umeshazikwa kwani ulikuwa umeharibika vibaya sana kiasi kwamba haukuweza kusafiishwa kupelekwa Dar kwani inasemakana ulikuwa na majeraha na macho kutobolewa hivyo familia ya marehemu na viongozi wa Chadema walikubaliana kuuzika Igunga mjini...ni msiba ambao umegusa wana igunga kwa wingi sana............Hii ndiyo Tanzania tunae hubiliwa ina amani
Mwili wa marehemu tayari umeshazikwa kwani ulikuwa umeharibika vibaya sana kiasi kwamba haukuweza kusafiishwa kupelekwa Dar kwani inasemakana ulikuwa na majeraha na macho kutobolewa hivyo familia ya marehemu na viongozi wa Chadema walikubaliana kuuzika Igunga mjini...ni msiba ambao umegusa wana igunga kwa wingi sana............Hii ndiyo Tanzania tunae hubiliwa ina amani
Wazalendo wa kweli wauwaji wa kweli....
Binafsi naomba ukimya unitawale, until a research is complete and the responsible speakers give a suggestion on what to do...!
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida
Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..
Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap
Saaafi kabisa, umepatia kabisa, Mpwa kama unaweza kuunganisha thread hii na ya kwangu yenye Title: Polisi, ni wapi alipo Musa wakala wa CHADEMA Igunga? Nadhani itakua imenoga vizuri!
Kilichofanyika ni kuuzika mwili maana ulikuwa umehalibika sana...naamini watachukua hatua hawawezi kuliacha jambo kama hili likapita...................Then what???? Viongozi wa CHADEMA wanataka kutuambia nini tunaojitolea kwenda kutetea chama katika chaguzi??? Kuwa manyang'au yanaweza tu kuamua kutuua kama wanavyotaka, bila kuambiwa chochote?? No, this is utani...
Maiti ya mtu anayesadikika kuwa alikuwa wakala wa Chadema imeokotwa nyuma ya Magereze.
Barabara zimefura raia.
Wana-Igunga wanasema hawana mbunge.
Dk. wa Manzese asikanyage Igunga.
Abari ndo iyo.
Live kutoka kwa Wajikoni Igunga.