Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Ok ok ok Kishongo, Hata kule Tunisia baada ya kifo cha yule kijana serikali ilipoona wananchi munkari umepanda ilisema PATACHIMBIKA. Na kweli palichimbika na majibu unayo. Usidanganywe na hao Polisi waliotanguliza vitambi mbele kama nguvu ya umma itaamua kuchukua nchi yao wataweza kuzuia lolote. MUNGU ainusuru CCM ili yasitokee hayo.Una maana gani kuiondoa? Kama kwa sanduku la kura, sawa. Vinginevyo....PATACHIMBIKA.
Wasira in action.Maiti ya mtu anayesadikika kuwa alikuwa wakala wa Chadema imeokotwa nyuma ya Magereze.
Barabara zimefura raia.
Wana-Igunga wanasema hawana mbunge.
Dk. wa Manzese asikanyage Igunga.
Abari ndo iyo.
Live kutoka kwa Wajikoni Igunga.
Wakati umefika wa kuiondoa serikali...
Ok ok ok Kishongo, Hata kule Tunisia baada ya kifo cha yule kijana serikali ilipoona wananchi munkari umepanda ilisema PATACHIMBIKA. Na kweli palichimbika na majibu unayo. Usidanganywe na hao Polisi waliotanguliza vitambi mbele kama nguvu ya umma itaamua kuchukua nchi yao wataweza kuzuia lolote. MUNGU ainusuru CCM ili yasitokee hayo.
Mumeua wakutosha bado wengine wako India..........Una maana gani kuiondoa? Kama kwa sanduku la kura, sawa. Vinginevyo....PATACHIMBIKA.
Mwili uliokotwa ni wa Mbwana ambae ni mmoja wa mawakala wa CHADEMA ambae ni mwenyeji wa Dar alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha na kuna mawakala zaidi ya wanne waliko magereza huyu taarifa zake hazikutolewa kuwa nae alikuwa amekamatwa..........................
Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.
Exactly mtailinda hadi wewe uwe wa mwisho kama wanavyomlinda Gaddafi leo.Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.