Kada Mashuhuri wa CCM Newala ajiunga CHADEMA

Hapo mmelamaba galasa, huyu si lolote ndani ya CCM alikuwa mzigo
 
haya mkuu tunashukru kwa taarifa na tunamkaribisha sana kwenye kundi
 
 
 
Wala si Mkatoliki na pia Familia yake ni WaAnglikana.Yeye kwa mujibu wa taarifa za uhakika nilizonazo ni Mtu wa Meditation katika Nuru na Sauti na ni strict vegetarian hali nyama ya aina yoyote wala mayai,
 
bandu bandu humaliza gogo,acha masisiem yajifariji kuwa alikuwa mzigo kumbe yanazidi kupungua kila uchao.T2015 CDM
 
yes YOU MADE A RIGHT CHOICE ITS A TIME NOW FOR OTHER NYINYIEM TO FOLLOW IN YOUR FOOT STEPS.
 

mkuu sijakuelewa
mbona unasema chadema wamempokea mtu aliyeshindwa kuendana na kasi ya chama bora Tanzania, halafu unamtaja uliyemtaja eti naye akijiunga na chadema watafurahia kwani ni nani aliyekuambia ameshindwa kwenda na kasi ya hicho chama? uliimanisha nini?
 
Tarehe 9/01/2013 Uongozi wa Kitaifa UWT ulifika maalum kumshambulia Adam pale kijijini kwake Mnyambe.Yaliojiri pale yalionyesha dhairi ni jinsi gani wanamuogopa Kamanda huyu na Chadema kwa ujumla.Kumbe Ccm ndio wakabila na wadini.
 

Hatakujibu mkuu. Umemvua nguo hadharani
 
Baadhi ya maneno yao ni "Analeta mambo ya Kilimanjaro(2 Mmakonde na Mchaga wapi na wapi(3 Kwamba Adam ni Kibaraka na mengine mengi kiasi cha kustajaabisha kwa wamemfunga safari toka Dar maalum kwenda kumshambulia.hajasaidia kwani watu wanavua gamba%
 
Na bado watakuja wengi tu ila cha msingi ni kuwaangalia wanakujaje?! Isiwe kama hawa wengine wanaojifanya wanajua misemo kumbe wanafiki tu.
 
CHADEMA ndio chaguo la wengi. Wote mnaochoshwa na siasa chafu mnakaribishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…