Kada Mashuhuri wa CCM Newala ajiunga CHADEMA

makada kama hawa wanatakiwa wapewe jukumu maalamu kuendeleza moto wa mabadiliko eneo la kusini hasa baada ya viongozi wakuu wa cdm kuondoka mc4 isife iendelee kuwa hai hadi 2015 ccm itakapozikwa rasmi!!

Well said mkuu.Nadhani viongozi watachukulia kwa uzito ombi lako
 

Real Liberation is at the door!
 
Nape akija hapa atasema hawatishiwi na kinyago walichokichonga wenyewe.
 
Adamu aendelee sasa kukijenga chama na 2015 awe mmoja wa wale watakao simama kuomba ubunge pitia jimbo hilo make huyo ni jembe kweli kweli
 
sasa hii M4C itawaliza hawa jamaa kama zaidi ya operation sangara



Mi natamani wale wote watakaobaki ccm wawekwe lupango na hata ikiwezekana na hata wanyongwe!

Hii M4C haitawaponesha mafisadi!
 
aliapa mkutanoni kwamba newala yote itajivua gamba ndani ya muda mfupi ujao
ukiona watoto wa waasisi wananza kuhama huko magamba jua hali ni mbaya. Sasa mnasubiri nini huko mtwara hameni chama cha magamba kitawadidimiza ni kama panya vile anauma na kupuliza ukiangalia mkono una vidonda tayari. Hivi mnafikiri kuna umaskini zaidi ya huu. Watu wanafanyakazi lakini wanaofaIdika ni ridhione na maswahiba wa baba yake. Anagalia kesho amin usiamini watu wataambulia pilau na kanga za kuchaKAa siku hiyohiyo. Huo ni uzezeta
 
Karibu sana kamanda uwe sehemu ya ukombozi wana Newala
 

Wameshaona Mwanga sasa mkuu.
 
Teh teh m4c- movement for christians












( NECTA- machinjio ya waislam)
 
habari njema! Peoplez . . . . . . ! . . . . .
 
Hadi tutoboe 2015 watakuwa wamebaki wachache humo!!!!!
 

matokeo yake injini ni kunoki maana hakuna oil mpya inayowekwa na gari wanataka kuendesha!!!
 
kwa ukali wa upepo unaovuma mwaka huu lazima magamba wataugua STROKE SANA
 
Kila ninapokuatana na habari kama hizi, break ya kwanza ni kuiangalia tena na tena signature yangu...

Mungu lazima atakuwa nasi daima!!
 
Amefanya maamuzi bora kabisa, we unasubiri nini Hamia CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…