Kada Mashuhuri wa CCM Newala ajiunga CHADEMA

CCM nasikia wamewaambia kule kwenye Misikiti walikokuwa wanagawa sanda wasizitumie kwani wanahisi kifo chao kimekaribia kwani viongozi wengi wa ccm watazitumia kuzikiwa!!
 
Ni kweli mkuu hayo majimbo CDM itashinda kwa kishindo kikubwa kwani matawi yamezinduliwa kila kona ya mitaa yao
Ukombozi kamili unakuja 2015. Tuendelee na kasi hii hii.
 
wabunge wa kusini wametishika na vuguvugu la mabadiliko hari iliyowapelekea kukatisha shughuli zao na kwenda kufuta nyayo za M4C..source mwanainchi la leo
 
wabunge wa kusini wametishika na vuguvugu la mabadiliko hari iliyowapelekea kukatisha shughuli zao na kwenda kufuta nyayo za M4C..source mwanainchi la leo
Watahangaika sana kwani moto wa M4C hauzuiliki na wala hauzimiki forever!
 
wabunge wa kusini wametishika na vuguvugu la mabadiliko hari iliyowapelekea kukatisha shughuli zao na kwenda kufuta nyayo za M4C..source mwanainchi la leo

Mkuu kwa lipi watafanya ili wananchi wawaamini tena?
 

Naona kama mifano yako hata haiendani, kwani huyo naye alikuwa anapondwa na CDM?
 
Tope.......n
 

Huyo jamaa namkumbuka wakati wakati wa uchaguzi wa 2010 alitakiwa agombee ubunge kwa tiketi ya chadema huko newala akakataa



BarakaBoki (MEng,MBA from Duke University)
 
Kama sikosei NAPE alinukuliwa akiwafananisha hawa wanaoondoka CCM kwa sasa na oil chafu. Tatizo ni kuwa oil chafu ikiondoka lazima iwekwe oil mpya kwenye injini ili isije ikaungua. Sioni CCM ikifanya juhudi zozote kuingiza oil mpya kwenye injini yao ili kuchukua nafasi ya hii chafu inayomwagika.
 
Filikunjombe karibu kabla milango haijafungwa!!
 
makada kama hawa wanatakiwa wapewe jukumu maalamu kuendeleza moto wa mabadiliko eneo la kusini hasa baada ya viongozi wakuu wa cdm kuondoka mc4 isife iendelee kuwa hai hadi 2015 ccm itakapozikwa rasmi!!
 

Na jana amewapa jina lingine eti ni Vinyago
 
Nao (Chadema) wakamshinda (CCM) kwa damu ya Mwana-Kondoo,na kwa neno la ushuhuda wao;ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.Kwa hiyo shangalieni enyi mbingu,nanyi mkaao hum😵le wa nchi na bahari! kwa maana yule Ibilisi (CCM) ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi,AKIJUA YA KUWA ANA WAKATI MCHAHCE TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…