Kada Mashuhuri wa CCM Newala ajiunga CHADEMA

Nape yuko busy kuwapachika majina walioona ukombozi.. Juzi aliwaita oil chafu.. Leo anawaita vinyago na kwamba ati kinyago ukichonge mwenyewe vpi kikuogopeshe.. Atayameza maneno yake huyu..

Achana na vuvuzela mkuu
 
Hakika kwa jinsi alivyokuwa anashangiliwa na umma hilo jimbo hana mpinzani kabisa.
Ni mtu wa watu, mwadilifu na mwenye ushawishi kwa umma. Pia historia ya uko wao inambeba.
 
Mwenyezi Mungu ni mwema siku zote! Karibu kamanda Lawi, karibu, karibu sana tuikomboe Tanganyika yetu kwa pamoja! Feel at home, PEOPLE'S POWER, M4C.
 

Hahaaaa, mkuu halafu nasikia ni mkatoliki huyo.
Pole mkuu hakuna marefu yasito na ncha.
 



Nilishasikia habari zake huyu jamaa kutoka kwa mdau aliyepo kule. Mwaka 2010 alitaka kuleta kimbunga wazee wa ccm walimfata wakapiga magoti kumsihi afikirie tena asiende upinzani maana mkuchika ingebidi apewe viti maalumu ili awe mbunge.
Ki ufupi ukoo wake una athari sana na siasa za newala.
 

Mkuchika sasa hana jinsi inabidi afunge virago
 
Mwenyezi Mungu ni mwema siku zote! Karibu kamanda Lawi, karibu, karibu sana tuikomboe Tanganyika yetu kwa pamoja! Feel at home, PEOPLE'S POWER, M4C.

Ameshaingia mpaka chumbani mkuu.
 
Adam Lawi - Mbunge wa Jimbo la Newala 2015
 
Jimbo la kwanza la CHADEMA kutangazwa Mbunge wetu mwaka 2015 ni Newala.Mkuchika hana cha kwake tena huku.Ujeshi Kombat sio makelele.
 
Jimbo la kwanza la CHADEMA kutangazwa Mbunge wetu mwaka 2015 ni Newala.Mkuchika hana cha kwake tena huku.Ujeshi Kombat sio makelele.

Nasikia Mkuchika alichanganyikiwa mpaka akaenda kutoa sanda msikitini
 
Hiyo inatokana na namna anavyokubalika kwa umma. Newala na Masasi tuna uhakika wa ushindi 2015.

Ni kweli mkuu hayo majimbo CDM itashinda kwa kishindo kikubwa kwani matawi yamezinduliwa kila kona ya mitaa yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…