Kada maarufu CCM mbeya atimkia CHADEMA!

Kada maarufu CCM mbeya atimkia CHADEMA!

Huyu Hakimu achunguzwe kwanza,na atubu kwa kueleza wazi ni watu wangapi aliwafunga kwa kuwaonea baada ya kula rushwa enzi za utumishi wake.Baada ya hapo apokelewe kwa kiapo cha hali ya juu.
 
Mlango bado uko wazi kwa wote wanaotaka kuhamia CHADEMA.

Karibu sana mheshimiwa hakimu (rtd).
 
baada ya kuona CCM imepoteza msingi alioacha baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere

Hiki ndicho chanzo cha anguko la ccm, kwani wafuasi wake wanakihama chama hicho kwa kuacha kufanya kwa vitendo maadili yale ambayo ndiyo yalikuwa misingi ya kuanzishwa kwake.
 
Safi sana kwa kutambua alama za nyakati, karibu chamani!!
 
Conguratulation man your most welcome. PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ukitaka kujijua kama unalaana bila kuambiwa na mtu, ni unapo jikuta unakashfu watu waliyo kupita umri! au wewe ulizaliwa na vijana wenzako ? heshima kitu cha bure

mkuu watu wengine wanalelewa na mababa wa kufikia unakuta mama yake anamtambulisha baba hata ndevu hana.
 
Hiki ndicho chanzo cha anguko la ccm, kwani wafuasi wake wanakihama chama hicho kwa kuacha kufanya kwa vitendo maadili yale ambayo ndiyo yalikuwa misingi ya kuanzishwa kwake.
Huyu mzee sindiyo yule ambaye alikuwa anakula rushwa bila hata ya kunawa,nakumbuka alisimamia kesi ya angetile ilikuwa aibu tupu.
 
Karibu sana nyumbani mzee wetu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
YAANI huyo kibabu bado ana ndoto tu za siasa? si bora aende shamba tu akajilimie kahawa? anajipa stress za ajabu
Kwa umri wake kitendo alichokifanya ni ushujaa na kaona mbali kwani kwa imani tulizonazo sasa ukifa ukiwa ndani ya CCM ni moja kwa moja unaenda motoni kulingana na matendo ya CCM kwa hiyo kaamua kujiokoa.
 
Mimi nilisema hata wazee wanaiunga mkono CHADEMA tena wengi ni makada wa CCM, watu fulani (siwataji) wakanibishia. Haya sasa, mzee wa miaka 70 kauona mwanga. Mna la kusema?

Kwenye uchaguzi mtaji wa chama ni wanachama wake. Huu ndio wakti wa CHADEMA kuvuna wanachama. Wengi wako nyuma ya mzee huyu. Watamfuata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom