Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Mar 22, 2013 #1 Habari zenu wakuu.Hii ni kachumbari isiyo na nyanya. Chukua chumvi ya unga katika kisosi.Sagia pili2 mbuzi kamulia limao
Habari zenu wakuu.Hii ni kachumbari isiyo na nyanya. Chukua chumvi ya unga katika kisosi.Sagia pili2 mbuzi kamulia limao
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Mar 22, 2013 #2 Then else ... Unaijua maana halisi ya "kachumbari" kama itambulikavyo pande za pwani?
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Mar 23, 2013 Thread starter #3 Sawa Mke Wangu Mpenzi, ila neno 'kisosi' woti daz it mini?By the way,hii itakuwa imetusaidia kwani nyanya zimepanda bei.
Sawa Mke Wangu Mpenzi, ila neno 'kisosi' woti daz it mini?By the way,hii itakuwa imetusaidia kwani nyanya zimepanda bei.
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Mar 23, 2013 #4 Mke Wangu Mpenzi baada ya hapo? embu nipe na faida zake Mke Wangu Mpenzi jamani mweeeh Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Mar 23, 2013 #5 Mke Wangu Mpenzi baada ya hapo? embu nipe na faida zake Mke Wangu Mpenzi jamani mweeeh Last edited by a moderator: Jan 4, 2016