Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
karibu sanaSiamini sijakumbukwa kiasi hiki basi itabidi nijiondokee tena
karibu sana
nimekumiss much my ex,mbona kimya sanaJamani my sweet ex thank u
Habari zenu wana chit chat.
I hope wote ni wazima na mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu.
Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu ilinipasa kupotea kwa muda lakini sasa nimerudi kujumuika nanyi wote.
Niliwamiss sana nyote
Kamkono mama kamkono ushakaondoa kwenye niniliyu? mi kanantiaga mhemuko!
nimekumiss much my ex,mbona kimya sana
Wellcome again!
Btw note currently cc have been swallowed so many strangers, that's y wakiona id yako wanadhani form one mwenzao!
Nway enjoy Jf's life.
Welcome on board again.
Kamkono mama kamkono ushakaondoa kwenye niniliyu? mi kanantiaga mhemuko!
Na kweli watu wapya wengi sana ndo narealize nilipotea kitambo sana anyway how u doin?za mwanza?
Mi niko sawa! Bt niko Drc (Kisangani) kwa sasa.
Karibu sana bi dada.
Ahsante love mekumiss sana jaaman
Nilikumiss sana,
Nilikukumbuka pia,
Hapa cc mambo ni moto
ndoa ni kila siku talaka ni kila saa.