M Ms. Thandiswa Member Joined Apr 10, 2012 Posts 86 Reaction score 9 Apr 22, 2012 #21 jumatatu tutajua mbivu na mbichi,hela za bajeti zinavyotumika na wakuu huko mawizarani ni kufuru,wakifanyiziwa hawa wengine watajifunza kutoka kwa wenzao. But magamba hawaaminiki wanaweza cheza sinema wenyewe msiamini
jumatatu tutajua mbivu na mbichi,hela za bajeti zinavyotumika na wakuu huko mawizarani ni kufuru,wakifanyiziwa hawa wengine watajifunza kutoka kwa wenzao. But magamba hawaaminiki wanaweza cheza sinema wenyewe msiamini