Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Naomba kujuzwa, huwa naona kitu kama kaburi ndani ya bustani iliyo pembezoni mwa Samora Avenue karibu na JMall/Harbour View, hilo kaburi linatunzwa vizuri sana. Kama ni kaburi kweli, je ni kaburi la nani?