figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
marehemu anasikiaje uchungu?Kaburi la Yustine Ndugai, baba mzazi wa Spika Ndugai limefukuliwa ili mabaki yakazikwe upya Kijiji cha Ibagwe, Kongwa Dodoma.
My Take:
Haya mambo yanawezwa kufanywa labda kutokana na uwezo wa Familia, lakini inakumbusha machungu na ni kumsumbua Marehemu.
Nipo mm Gwajima alinifufuahivi kuna MTU hum jamvini alishawahi kufa akafufuka aje atupe mrejesho kule kuzim alikutana na nini? haiwezekani binadam tunadesturi ya kutishana mtu akifa amekufa tu na kinachokufa ni mwili ila roho itadumu milele pale itakapozaliwa upya wewe unaesema kuwa kufukua kaburi ni kumsumbua malehemu unamaanisha nini?
Nadhani alikuwa anapata shida kutambikia,kusafiri mpaka nchi ya wasukuma ni mbali mno,kaona bora amsogeze kongwa,ukichukulia matambiko mengi hufanyika usiku watu wakiwa wamevaa kaniki wakicheza ngomaCHADEMA kila kitu mnapinga kama mtu alizikwa wrong place kaburi lisihamishwe?
familia ya washirikina hiyoKaburi la Yustine Ndugai, baba mzazi wa Spika Ndugai limefukuliwa ili mabaki yakazikwe upya Kinin I cha Ibagwe, Kongwa Dodoma.
My Take:
Haya mambo yanawezwa kufanywa labda kutokana na uwezo wa Familia, lakini inakumbusha machungu na ni kumsumbua Marehemu.
Si kweli ndo maana watoto wanalilia Majina Ukiwapa Wananyamaza Marehemu wakifa bado wana thamani.Ushamba tu wa huyo jamaa mtu akifa hana saman tena
Hivyo ndo vituko vya wanasiasa wetu! Nyuma yake lazima kuna ushauri wa "mtaalamu" fulaniKaburi la Yustine Ndugai, baba mzazi wa Spika Ndugai limefukuliwa ili mabaki yakazikwe upya Kijiji cha Ibagwe, Kongwa Dodoma.
My Take:
Haya mambo yanawezwa kufanywa labda kutokana na uwezo wa Familia, lakini inakumbusha machungu na ni kumsumbua Marehemu.