Kaburi la Baba wa Spika Job Ndugai, limefukuliwa ili lizikwe upya

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
Kaburi la Yustine Ndugai, baba mzazi wa Spika Ndugai limefukuliwa ili mabaki yakazikwe upya Kijiji cha Ibagwe, Kongwa Dodoma.

My Take:
Haya mambo yanawezwa kufanywa labda kutokana na uwezo wa Familia, lakini inakumbusha machungu na ni kumsumbua Marehemu.
 
hivi kuna MTU hum jamvini alishawahi kufa akafufuka aje atupe mrejesho kule kuzim alikutana na nini? haiwezekani binadam tunadesturi ya kutishana mtu akifa amekufa tu na kinachokufa ni mwili ila roho itadumu milele pale itakapozaliwa upya wewe unaesema kuwa kufukua kaburi ni kumsumbua malehemu unamaanisha nini?
 
Msimpe umaarufu asiokuwa nao huyo ndugai. Mwache masuala binafsi yaende kimyakimya.
 
huku ni kumsumbua marehem, sisi ni wa mavumbi na mavumbini tutarudi
 
Alikufa lini huyo babu?

Unajua ndugai kashaanza kuwa lofa tangu asifiwe na rais sasa sifa zinamzidi hadi anaharibu
 
Inawezekana mzimu inamchanganya ndugai ndyo maana anaonekana kma kuna kabolt kamekatika
 
Kaburi la Yustine Ndugai, baba mzazi wa Spika Ndugai limefukuliwa ili mabaki yakazikwe upya Kijiji cha Ibagwe, Kongwa Dodoma.

My Take:
Haya mambo yanawezwa kufanywa labda kutokana na uwezo wa Familia, lakini inakumbusha machungu na ni kumsumbua Marehemu.
marehemu anasikiaje uchungu?
 
hivi kuna MTU hum jamvini alishawahi kufa akafufuka aje atupe mrejesho kule kuzim alikutana na nini? haiwezekani binadam tunadesturi ya kutishana mtu akifa amekufa tu na kinachokufa ni mwili ila roho itadumu milele pale itakapozaliwa upya wewe unaesema kuwa kufukua kaburi ni kumsumbua malehemu unamaanisha nini?
Nipo mm Gwajima alinifufua
 
CHADEMA kila kitu mnapinga kama mtu alizikwa wrong place kaburi lisihamishwe?
Nadhani alikuwa anapata shida kutambikia,kusafiri mpaka nchi ya wasukuma ni mbali mno,kaona bora amsogeze kongwa,ukichukulia matambiko mengi hufanyika usiku watu wakiwa wamevaa kaniki wakicheza ngoma
 
Kaburi la Yustine Ndugai, baba mzazi wa Spika Ndugai limefukuliwa ili mabaki yakazikwe upya Kijiji cha Ibagwe, Kongwa Dodoma.

My Take:
Haya mambo yanawezwa kufanywa labda kutokana na uwezo wa Familia, lakini inakumbusha machungu na ni kumsumbua Marehemu.
Hivyo ndo vituko vya wanasiasa wetu! Nyuma yake lazima kuna ushauri wa "mtaalamu" fulani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom