Yaan mpaka wajitetee?? yaan serikali haiwezi kuona potential ya diaspora mpaka wajitetee?Uwekezaji mkubwa hata mtanzania wa uraia lazima aende TIC, diaapora wameshindwa kujitetea kwa nini wanatakauraia pacha.
Sometimes muwe mnaachaga kufikiria kwa kutumia makalio
Sent using Jamii Forums mobile app