Swali moja Kenya wamewezaje waziri? Mbona hatuoni hayo majanga
Mkuu, hii ishu sahau. Tumeikataa na hata hao wanapitaka wameshindwa kushawishi kwa nini wapewe uraia pacha. You are either with us or against us, no in between!Swali moja Kenya wamewezaje waziri? Mbona hatuoni hayo majanga
Kasome katiba yao.Mkuu, hii ishu sahau. Tumeikataa na hata hao wanapitaka wameshindwa kushawishi kwa nini wapewe uraia pacha. You are either with us or against us, no in between!
Alafu walichoweza wakenya ebu tuwekee hapa.
Uwekezaji mkubwa hata mtanzania wa uraia lazima aende TIC, diaapora wameshindwa kujitetea kwa nini wanatakauraia pacha.Uraia wa nchi Mbili ni wakati sahihi, diaspora wanashindwa kuja kuwekeza nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hainihusu, aliyesema wakenya wameweza aiweke katiba yao hapa.Kasome katiba yao.
Hauna madhara ila pia faida zake ni nini? Kwa previledges watakazopewa kwa kuwa na asili ya Tz watakosa nini cha maana watakacho.Uraia pacha hauna madhara,tatizo letu bado tuna Imaginary enemies,..bado kuna watendaji wa vijiji huko vijijini wanaamini kabisa kuwa Makaburu watakuja kutuvamia siku moja hahahaa!!
Hili suala la kua na dual citizenship lilianzishwa na chama cha upinzani Chadema 2005 pamoja na sera za kua na majimbo lipo kwenye sera za Chadema ,CCM walivyoona wakataka kulidandia tu lakini sio lao naona linawashinda,kama una mawazo kua kutakua na dual citizenship chini ya CCM labda mjisahaulishe tu labda chance ni 40%,labda Raisi aweke maamuzi yake,nafikiri linalosababisha kushindikana huko ni umwagaji damu wakati wa mapinduzi ZNZ hilo nalo bado linawasumbua,wanahisi wenye haki bado wako Oman watarudi kudai chao,lakini ni woga tu wa CCM sbb kama waliporwa wakiamua kudai hata sasa bado wanaweza tu kurudi hata kwa nguvu na kudai chao, bila kua na hiyo uraia pacha "haya ni mawazo yangu tu"Swali moja Kenya wamewezaje waziri? Mbona hatuoni hayo majanga
Kuna zaidi ya watanzania milioni unusu wanaoishi nje ya mipaka,watakuja kuwekeza nyumbani kuna wengine wanafanya kazi kwenye high tech companies wanajua know how..kuna faida nyingi nyingi sana.Hauna madhara ila pia faida zake ni nini? Kwa previledges watakazopewa kwa kuwa na asili ya Tz watakosa nini cha maana watakacho.
Sasa kikwazo ni nini? Inakuaje mwarabu wa dubai anaweza kuwekeza hapa Tanzania alafu huyo ashindwe?Kuna zaidi ya watanzania milioni unusu wanaoishi nje ya mipaka,watakuja kuwekeza nyumbani kuna wengine wanafanya kazi kwenye high tech companies wanajua know how..kuna faida nyingi nyingi sana.
Halafu ...Hainihusu, aliyesema wakenya wameweza aiweke katiba yao hapa.
Huyu waziri anasema eti tukitoa uraia pacha itabidi tueape na wenzetu wa Africa mashariki uraia sasa mbona katiba ya Kenya ina uraia pacha lakini hatuoni hayo... ukisema tu sahau hilo bado sio jibu la swala ni hasira zetu kama kawaida. Lakini hapa sio kukasirika bila msingi weka mbele fikra za nchi na acha fikra zao za emotional 😭 tatizo tunafanya maanuzi kihasiri na sio strategicMkuu, hii ishu sahau. Tumeikataa na hata hao wanapitaka wameshindwa kushawishi kwa nini wapewe uraia pacha. You are either with us or against us, no in between!
Alafu walichoweza wakenya ebu tuwekee hapa.