Kabla ya Ndoa

Kabla ya Ndoa

Hawa nao ni watu ila twawachukulia kama sio watu.
Mpango wa Mungu ulikuwa sahihi sema sisi wanaume kutofanya majukumu yetu kwa ufasaha na usahihi, tamaa za shetani ndio sababu twataka na wao wawe na kitu wakati Mungu aliwaumba kama wasaidizi wetu kwani wawili ni bora kuliko mmmoja
Kwani mkiwa wawili mmmoja akidondoka mmoja atamsaidia amka
 
Kuwa msaidizi manake yeye pia anapaswa kufanya kazi , anawezaje kuwa msaada kama hafanyi kazi??
 
Uwezo wa kuchomoa betri zoote za huyo mwanaume iwe mahusiano baina yake na familia,ndugu marafikina jamaa
Jamaniiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom