Kabla ya ndoa mambo huwa hivi

Kabla ya ndoa mambo huwa hivi

Mdau Makin

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
767
Reaction score
207
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-

MME: Natamani sana iwe hivyo.

MKE: Vipi, wataka niondoke?

MME: Hapana hata kidogo.

MKE: unanipenda?

MME: Ndo maanake.

MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi
yangu?

MME: Siwezi huo upuuzi.

MKE: Utanibusu milele?

MME: Kila mara.

MKE: Je, utanipiga?

MME: Aaaa haiwezi tokea.

MKE: Naweza kukuamini?

MME: Naam.

MKE: Jamani mpenz!!

Sasa ukitaka kujua baada ya ndoa
mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu.
 
Back
Top Bottom