kabla ya ndoa mambo huwa hivi

contact

Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
39
Reaction score
4
MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!

Na pia ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma msg hii kuanzia chini kwenda juu.
 
Nimeipenda hiyo mvurigano wa maneno hahaha that's marriage meen yaitaji uvumulivu na kujitoa kwa lolote.for better for worse ila kama limbukeni utaishia kuachana na wanaume kibao hahah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mvumiliye akupendaye sio ung'ang'anie 2 bila mpango kula kona fasta kwann ujiumize kwake?yesu na maria had huruma yalaaa duuh!kibaya chajitembeza kweli
 
Ndo mana na wewe ulisepa fasta ulivyotendwa. kabaaaaaaang

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sina haja ya kusepa napendwa kinyama.kama una mazungumzo mengine ni PM basi au sio hapa watu waache wachangie mada

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwan we nani mbona wanifatilia sana mume tena heee makubwa haya una shida na mimi kwani? Mh tililika

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nikuulize ww kinganganiz ucyejua baya na nzuri ndo mana umekonda ka do*g
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…